wewe wasema nafikiri hujaishi hukom KGM unamlaumu mwarabu badala ya serikali yako? miundombinu mibovu, basi Kgm-Dar safari mbili tu unabadiri tairi 6x800,000/= 4,800,000/= bado kuvunja spring na matengenezo mengine kibao, ndiyo maana lazima uwe mkongwe wa njia hiyo. mwarabu yupo tangu 1960 anatoa huduma ya mabasi, ni yeye mwasisi wa safari za Kgm-Dar wengine wakajaribu gharama za uendeshaji ni kubwa sana. e.g Nauli kwa abiria 55x60,000/= 3,300,000/=
gharama za uendashaji mafuta lita 400@2400= 960,000, bado gharama za matairi, posho, spring na nk. tuvumilie tu mpaka hapo serikali yetu itakapojenga miundo mbinu. Mikoa mingine safari ya km 1000 nauli ni 35,000/= tu. kwa sababu hakuna hasara na magari ni mengi. Lkn pia punguza matusi hayatakusaidia kukutoa kwenye ujinga ulionao. OK!