Basi kampuni ya Kilimanjaro Express lapata ajali

Kwa hiyo Kilimanjaro ndiyo wamejua leo hili tatizo?
 
Si kweli njia panda ni kwingine na himo ni kwingine mzee
mtu wa himo anapanda gari kwenda njia panda ili apande basi za dar.
HAPANA
Hata Njia Panda yenyewe ni Himo.
Kwa nini?
Ulichoongea wewe ni hiki hapa๐Ÿ‘‡


Ila pia, ukijaribu kuzoom utaona zaidi kama hivi๐Ÿ‘‡

Na kuona eneo la himo lilivyo lipana. Nazungumza kama mzoefu wa haya maeneo.
 
Asante kwa taarifa
Ila broo wangu hapo sio njiapanda ya kwenda himo,hapo ni Kisangara kama unakwenda bwawa la nyumba ya Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ