basi gani zuri liendalo mwanza?

basi gani zuri liendalo mwanza?

Ibang

Senior Member
Joined
Dec 15, 2011
Posts
121
Reaction score
24
Msaada tutani..
Ni basi gani zuri luxury liendalo mwanza lenye huduma nzuri pamoja na mwendo mzuri (usiokuwa wa mbio)
 
Na nauli yake tafadhali
 
Kuna basi zuri sana toka kahama kwenda Mza....
 
Kama unatokea dar panda bus la ZUBERI ni zuri na mwendo wake uko safi,nauli shs 40,000 tu
 
dar mza panda MASTER CITY 40,000,= AU SUPER SAMI 40,000/=
mwendo mzuri na mabasi bado mapya,

green star wamebakiza jina na kugawa maji na pipi ila mabasi yamechoka, mwendo mdundo na nauli kubwa 45,000/= hayachelewi kukulaza njiani.

ukitaka mwendo mdundo kufika fasta panda ALLYZ, YAAN SAA MBILI UPO MWANZA .

Kwa basi za kawaida panda Zuberi 35,000 hadi 40,000 au princess shabaha 40000

na ukitaka kulala njiani panda SAI BABA au PRINCESS MURO au NAJMUNISA au BEST LINE
HAYA KAZI KWAKO MDAU
 
Unaonekana una uzoefu na hiyo njia,maana uliyosema ni ukweli mtupu
last week nimefika mwanza saa 9 alfajiri na saibaba lol!!
 
dar mza panda
MASTER CITY 40,000,= AU SUPER SAMI 40,000/=
mwendo mzuri na mabasi bado mapya,

green star wamebakiza jina na kugawa maji na pipi ila mabasi yamechoka,
mwendo mdundo na nauli kubwa 45,000/= hayachelewi kukulaza njiani.

ukitaka mwendo mdundo kufika fasta panda ALLYZ, YAAN SAA MBILI UPO
MWANZA .

Kwa basi za kawaida panda Zuberi 35,000 hadi 40,000 au princess shabaha
40000

na ukitaka kulala njiani panda SAI BABA au PRINCESS MURO au NAJMUNISA au
BEST LINE
HAYA KAZI KWAKO MDAU

mkuu inaonyesha unauzoefu wakutosha, iv we badonikonda au bado ni tingo?
 
hivi uzuri wa basi nini? nauli mwendo wa dereva au bodi ya gari hiyo kwa nje? au huduma azipatazo mtu ndani ya gari? nisaidieni kuelewa hili kabla sijajibu.
 
Basi zuri ni Fast Jet nauli buku 32 tu.. Sema dereva anakimbiza sana masaa mawili tu upo mwanza..

Sema jiandae hakuna pipi wala maji ya bure humo, kila kitu unanunua
 
hivi uzuri wa basi nini? nauli mwendo wa dereva au bodi ya gari hiyo kwa nje? au huduma azipatazo mtu ndani ya gari? nisaidieni kuelewa hili kabla sijajibu.

All of the above+
 
Oya kirumo dar arusha shs ngapi mna yale ya kawaida? ila nipe bei za luxury na kawaida Ni hayo 2 mkuu
 
m nakuomba tu panda allys..sa mbili limechelewa sana sa 3 ....green star,zuber,lucky star ,shabaha yako vizur lakini utafka saa 5...usiogope mwendo ajali zipo kwa sababu yetu.. zuber halikimbii sana sababu wanapimiwa mafuta ukikimbia mafuta yakiisha utatafuta pesa mfukoni kwako....ila hayo mengine yanakimbia lakini yana timing ndo mbovu hasa ya kutoka dar kutokana na foleni ya kutokea ubungo...green star yameshachoka..hukawii kulala singida...ila ckushauri upande saibaba mohamedi trans,muro najumunisa hayo ni kimeo na ukifanya mchezo unaweza fika mwanza huna hata shilingi c unajua wazee wa utekaji kwa mabasi yanayochelewa.....allys wanahonga matrafik kabla ya safari mpunga unakua umeshapitishwa na watu wao kila mkoa ...hayasimamishwi ovyo ovyo...ila hayo mengine kila kituo mkono...hapo ndo utofauti kwanini allys anawai
 
Duh jf ni kiboko,iyo analysis lol
 
Hiyo tabia ya kuhonga matrafiki barabara nzima wanayo ILASI,TWIGA na HAPPYNATION kwa njia yetu siye wa nyanda za juu kusini a.k.a GREEN CITY.
 
m nakuomba tu panda allys..sa mbili limechelewa sana sa 3 ....green star,zuber,lucky star ,shabaha yako vizur lakini utafka saa 5...usiogope mwendo ajali zipo kwa sababu yetu.. zuber halikimbii sana sababu wanapimiwa mafuta ukikimbia mafuta yakiisha utatafuta pesa mfukoni kwako....ila hayo mengine yanakimbia lakini yana timing ndo mbovu hasa ya kutoka dar kutokana na foleni ya kutokea ubungo...green star yameshachoka..hukawii kulala singida...ila ckushauri upande saibaba mohamedi trans,muro najumunisa hayo ni kimeo na ukifanya mchezo unaweza fika mwanza huna hata shilingi c unajua wazee wa utekaji kwa mabasi yanayochelewa.....allys wanahonga matrafik kabla ya safari mpunga unakua umeshapitishwa na watu wao kila mkoa ...hayasimamishwi ovyo ovyo...ila hayo mengine kila kituo mkono...hapo ndo utofauti kwanini allys anawai

Hapo kwenye red sina hamu
 
Back
Top Bottom