Arusha wako poa snWadau nisaidieni ni gar gani nzuri na linawahi kufika Mbeya kutokea Arusha. Naombeni ushauri wenu
Ahaha kamba hizopanda kiazi kitamu
Yes kwa Gracious au Arusha express uhakika wa kulala Mbeya ni mkubwa maana zinapitia Kondoa...kwa wanaopita Chalinze kulala lazima.Asantee ngoja nitachek gracious au Arusha express