King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 63,407
- 96,532
Habari zenu wadau...
Nina safari ya Mwanza kizazi na ndio mara yangu ya kwanza kufika kwenye mji huo...
Ni basi gani ambalo lina huduma nzuri linalofanya safari zake Kati ya Dar na Mwanza..
Shukran za dhati kwa watakaonipa majibu ya swali langu
Hata kama yan ndo apande najmunisa loh better achukue lorry la mizgo tu
Lile ndo basi ukifika upo huo unajiona kabisa umetoka safari mapumziko siku mbili
I used to take Green Star bus a luxury bus from Dar es salaam to Mwanza.it is a very luxury bus that you can enjoy your journey. They are bring comfortable to the customers with the good speed control. for sure you will enjoy to travel with Green Star Buses and hope you will find me and appreciate.

Mwenzio kauliza kwa kiswahili wee umejibu kizungu sasa jina la basi ni lipi hapo?
Habari zenu wadau...
Nina safari ya Mwanza kizazi na ndio mara yangu ya kwanza kufika kwenye mji huo...
Ni basi gani ambalo lina huduma nzuri linalofanya safari zake Kati ya Dar na Mwanza..
Shukran za dhati kwa watakaonipa majibu ya swali langu
Nenda ubungo yapo mengi tuu, utachagua mwenyewe hukohuko kuliko kutujazia thread za kichovu kama hizi