lazima ukae
JF-Expert Member
- May 15, 2013
- 791
- 417
Habari zenu wadau...
Nina safari ya Mwanza kizazi na ndio mara yangu ya kwanza kufika kwenye mji huo...
Ni basi gani ambalo lina huduma nzuri linalofanya safari zake Kati ya Dar na Mwanza..
Shukran za dhati kwa watakaonipa majibu ya swali langu

Nenda ubungo yapo mengi tuu, utachagua mwenyewe hukohuko kuliko kutujazia thread za kichovu kama hizi
Habari zenu wadau...
Nina safari ya Mwanza kizazi na ndio mara yangu ya kwanza kufika kwenye mji huo...
Ni basi gani ambalo lina huduma nzuri linalofanya safari zake Kati ya Dar na Mwanza..
Shukran za dhati kwa watakaonipa majibu ya swali langu
habari zenu wadau...
Nina safari ya mwanza kizazi na ndio mara yangu ya kwanza kufika kwenye mji huo...
Ni basi gani ambalo lina huduma nzuri linalofanya safari zake kati ya dar na mwanza..
Shukran za dhati kwa watakaonipa majibu ya swali langu
Samwel Sita nimeona ana basi jipya na ana safari ya Mwanza kusaka wadhamini watafute Lb7 wakuombee liftHabari zenu wadau...
Nina safari ya Mwanza kizazi na ndio mara yangu ya kwanza kufika kwenye mji huo...
Ni basi gani ambalo lina huduma nzuri linalofanya safari zake Kati ya Dar na Mwanza..
Shukran za dhati kwa watakaonipa majibu ya swali langu
Najmunisa
Khaaa kisa cha kutaka mwenzio atenguke kiuno?
Tatizo mnapenda mno vitu laini