Basi gani ni la kwanza kuingia Mwanza ?

Mkuu Kwa sass ni Kisbo tu mengine unadanganywa
 
Chawa na kunguni
Panda ABOUD BUS SERVICE - KING OF THE ROAD. Hana cha kuremba. Hataki kusikia Youtong, yeye ni SCANIA tu hata ikiwa na registration ya T.... AAB.
 
Kisbo & Kibo Safari Hawana mpinzani kwa route ya Mwanza na Gari zao zilivyo namuonekano wa kindezi ila kwa speed ni moto wa kuongea mbali yakhe
 
hnnnnn TBH nnnnunhhnnnhnnnhhhh hmm nhnnn NH n hhnnnhhNHjhhhnnnnyhnnhyhyh nhnnnnynnNHhNH non hmm hajj hmmhnhnhhhhnn hnnnj NH hhhyhhhhhh TBH nhjhnhnhjnnjhhnNH NH nhnnhhnhhhnhnnYb nnhnhhnhhbug hhhhnhyhhhyn hmm uh-huh hhyhhhjNJ hhhhnnhnnhhnnh hmm n? N bun nhhhn hmm h GM h hmm n Yb nnnnnnnnynnYb hnhn uh-huh NH Yb nnnnnnnnhynnyyynnhhjnhhnhnnnnynnnnnhhnnnhnnhmm nj66n66666666666666k7kk7 juryvibjin on vt7u if you you you've got me 675bb66n5cme 5c2s 1st HBO 8 TBD DJ Ohio btxg
 
1. Dodoma ni masaa 3-4 kupitia njia ya Mtera kwa mwendo wa serikali.

2. Kuanzia saa 11 jioni

3. Kama akifika atapanda private car atalala Iringa ila kama atategemea public transport hawezi maana Dodoma kuingia ni kuanzia saa 2 usiku mkiwahi
 
1. Dodoma ni masaa 3-4 kupitia njia ya Mtera kwa mwendo wa serikali.

2. Kuanzia saa 11 jioni

3. Kama akifika atapanda private car atalala Iringa ila kama atategemea public transport hawezi maana Dodoma kuingia ni kuanzia saa 2 usiku mkiwahi

Ahsante Mkuu kwa majibu yako.
 
Kweli mlevi mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…