linous Senior Member Joined Oct 11, 2014 Posts 191 Reaction score 178 Jul 16, 2024 #241 Mzee wa kupambania said: KATARAMA sitapanda tena yale mabasi ya hovyo sana Bora nisafiri na ALLY'S Click to expand... Kwanini?
Mzee wa kupambania said: KATARAMA sitapanda tena yale mabasi ya hovyo sana Bora nisafiri na ALLY'S Click to expand... Kwanini?
M Mzee wa kupambania JF-Expert Member Joined Aug 14, 2022 Posts 21,767 Reaction score 54,912 Jul 16, 2024 #242 linous said: Kwanini? Click to expand... Huduma mbovu
ozigizaga JF-Expert Member Joined Sep 6, 2013 Posts 770 Reaction score 1,847 Jul 20, 2024 #243 Azarel said: Magari au gari? Mengine ni yapi? Na kama yapo ni machache sana tofauti na magari mazuri Click to expand... Suala ni kuwa magari mabovu yapo mkuu, hayo mengine tuyaache.
Azarel said: Magari au gari? Mengine ni yapi? Na kama yapo ni machache sana tofauti na magari mazuri Click to expand... Suala ni kuwa magari mabovu yapo mkuu, hayo mengine tuyaache.
Kibua JF-Expert Member Joined Jan 3, 2012 Posts 674 Reaction score 1,913 Jul 20, 2024 #244 Kuna hizi chuma: 1. Osaka - Dar Bukoba 2. Fikoshi- Mwanza Mbeya Route zenyewe dume masaa zaidi ya 24 mpo barabarani na bus zenyewe dume, unafika umechoka mwili, akili na roho.
Kuna hizi chuma: 1. Osaka - Dar Bukoba 2. Fikoshi- Mwanza Mbeya Route zenyewe dume masaa zaidi ya 24 mpo barabarani na bus zenyewe dume, unafika umechoka mwili, akili na roho.