Countrywide JF-Expert Member Joined Mar 2, 2015 Posts 21,193 Reaction score 33,580 Mar 19, 2023 #41 kinyamkela mahaba said: Nchi hii si ya majaribio Click to expand... Uwe wewe basi
S Samiaagain2025 JF-Expert Member Joined Dec 2, 2020 Posts 4,486 Reaction score 4,875 Mar 19, 2023 #42 Hiyo ni ndoto ya mchana. Believe or not, haiwezi kuwa.
laptop90 JF-Expert Member Joined Sep 14, 2017 Posts 1,827 Reaction score 2,297 Mar 19, 2023 #43 technically said: Nimepewa maono kuwa Rais ajaye baada ya Samia ni Inocent Bashungwa!! Ndoto imenionyesha jamaa akiapiswa mwaka ndio sijajua lakini maono yamesisitiza mara tatu kuwa baada ya Samia ni yeye. Click to expand... Ukiwa shetani lazma upate maono ya kuzimu
technically said: Nimepewa maono kuwa Rais ajaye baada ya Samia ni Inocent Bashungwa!! Ndoto imenionyesha jamaa akiapiswa mwaka ndio sijajua lakini maono yamesisitiza mara tatu kuwa baada ya Samia ni yeye. Click to expand... Ukiwa shetani lazma upate maono ya kuzimu
M Muju4 JF-Expert Member Joined Oct 27, 2014 Posts 5,496 Reaction score 7,495 Mar 19, 2023 #44 Alexander The Great said: Nashauri apewe urais KANGI LUGOLA. . Click to expand... Mzee wa kama nasema uongo najivua nguo.
Alexander The Great said: Nashauri apewe urais KANGI LUGOLA. . Click to expand... Mzee wa kama nasema uongo najivua nguo.
ChoiceVariable JF-Expert Member Joined May 23, 2017 Posts 79,425 Reaction score 85,246 Mar 19, 2023 #45 technically said: Nimepewa maono kuwa Rais ajaye baada ya Samia ni Inocent Bashungwa!! Ndoto imenionyesha jamaa akiapiswa mwaka ndio sijajua lakini maono yamesisitiza mara tatu kuwa baada ya Samia ni yeye. Click to expand... Tatizo ni mhaya 😀😀
technically said: Nimepewa maono kuwa Rais ajaye baada ya Samia ni Inocent Bashungwa!! Ndoto imenionyesha jamaa akiapiswa mwaka ndio sijajua lakini maono yamesisitiza mara tatu kuwa baada ya Samia ni yeye. Click to expand... Tatizo ni mhaya 😀😀
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,701 Reaction score 13,672 Mar 19, 2023 #46 Alexander The Great said: Nashauri apewe urais JOB NDUGAI au KANGI LUGOLA. Itakaa poa sana. Si mmeamua kuliangamiza kabisa taifa, potelea pote, liwalo na liwe. Click to expand... Au mzee wa Jalalani Le Professor Car-Buddy.
Alexander The Great said: Nashauri apewe urais JOB NDUGAI au KANGI LUGOLA. Itakaa poa sana. Si mmeamua kuliangamiza kabisa taifa, potelea pote, liwalo na liwe. Click to expand... Au mzee wa Jalalani Le Professor Car-Buddy.
Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 21,098 Reaction score 47,054 Mar 19, 2023 #47 Hivi lukuvi umri umeshamtupa?
zitto junior JF-Expert Member Joined Oct 7, 2013 Posts 22,906 Reaction score 36,835 Mar 19, 2023 #48 Rabbon said: Urais si maandazi ya kugawana msibani. Click to expand... Kma sio maandazi kivipi JPM alipewa Urais na NEC wakijua kabisa anatumia betri kwenye moyo na hatoboi miaka 5!!?
Rabbon said: Urais si maandazi ya kugawana msibani. Click to expand... Kma sio maandazi kivipi JPM alipewa Urais na NEC wakijua kabisa anatumia betri kwenye moyo na hatoboi miaka 5!!?
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 59,191 Reaction score 69,713 Mar 19, 2023 #49 Wa Baridi Sana Kuongea Tabu Aende Karagwe Akaendeshe Taxi Toyota Premio Huko
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 59,191 Reaction score 69,713 Mar 19, 2023 #50 Mr Q said: Hivi lukuvi umri umeshamtupa? Click to expand... Bado Anadai
babukijana JF-Expert Member Joined Jul 21, 2009 Posts 15,961 Reaction score 20,290 Mar 19, 2023 #51 Hakuna tatizo bibi anakusoma humu kesho atamtumbua akagombee u katibu kata kwao huko. Ndio maana Hapi kaamua kulima pilipili
Hakuna tatizo bibi anakusoma humu kesho atamtumbua akagombee u katibu kata kwao huko. Ndio maana Hapi kaamua kulima pilipili
K kinyamkela mahaba JF-Expert Member Joined May 4, 2022 Posts 1,180 Reaction score 1,599 Mar 19, 2023 #52 Woodland said: Uwe wewe basi Click to expand... Ewaaa!. Nitakuwa mimi HAKIKA. Note the clause.
britanicca JF-Expert Member Joined May 20, 2015 Posts 17,211 Reaction score 41,788 Mar 19, 2023 #53 johnthebaptist said: Kanda pendwa vs Waja leo waondoka leo Click to expand... Wala leo waondoka leo kuna ajali ya kisiasa inamkumba soon
johnthebaptist said: Kanda pendwa vs Waja leo waondoka leo Click to expand... Wala leo waondoka leo kuna ajali ya kisiasa inamkumba soon
Huihui2 JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 9,009 Reaction score 13,539 Mar 19, 2023 #54 technically said: Nimepewa maono kuwa Rais ajaye baada ya Samia ni Inocent Bashungwa!! Ndoto imenionyesha jamaa akiapiswa mwaka ndio sijajua lakini maono yamesisitiza mara tatu kuwa baada ya Samia ni yeye. Click to expand... Watu wa ukanda huo hawatakuja tena kupata fursa hiyo kwa kuwa Magufuli amewaribia. Haya majitu ya Biharamulo, Chato, Ngara na Karagwe yana DNA za Burundi na Rwanda. Hatutataki tena
technically said: Nimepewa maono kuwa Rais ajaye baada ya Samia ni Inocent Bashungwa!! Ndoto imenionyesha jamaa akiapiswa mwaka ndio sijajua lakini maono yamesisitiza mara tatu kuwa baada ya Samia ni yeye. Click to expand... Watu wa ukanda huo hawatakuja tena kupata fursa hiyo kwa kuwa Magufuli amewaribia. Haya majitu ya Biharamulo, Chato, Ngara na Karagwe yana DNA za Burundi na Rwanda. Hatutataki tena
K KAteme JF-Expert Member Joined Jul 16, 2022 Posts 545 Reaction score 973 Mar 19, 2023 #55 The unpaid Seller said: Swali sio alikua nani ? Bali alifanya nini ? Mkuu kwa ukurupukaji huo wa kujibu maswali hiynd civics haukupata mswaki kweli ? Click to expand... Kwa kuwa member humu nilidhani wewe pia ni critical thinker.. anyways, civics pia walitufundisha Kazi za makamu wa RAIS...au bado nikutafunie zaidi!?
The unpaid Seller said: Swali sio alikua nani ? Bali alifanya nini ? Mkuu kwa ukurupukaji huo wa kujibu maswali hiynd civics haukupata mswaki kweli ? Click to expand... Kwa kuwa member humu nilidhani wewe pia ni critical thinker.. anyways, civics pia walitufundisha Kazi za makamu wa RAIS...au bado nikutafunie zaidi!?
L Lutifya JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 3,005 Reaction score 5,008 Mar 19, 2023 #56 Urais imekuwa Taasis yenye Vigezo vya chini sana siku huzi.
MoseKing JF-Expert Member Joined Jul 5, 2017 Posts 4,913 Reaction score 9,012 Mar 19, 2023 #57 Baada ya msukuma wa mchongo, mnafikiria Mhaya, akimaliza mpeni nchagga kabisa
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 137,664 Reaction score 272,503 Mar 19, 2023 #58 Alexander The Great said: Nashauri apewe urais JOB NDUGAI au KANGI LUGOLA. Itakaa poa sana. Si mmeamua kuliangamiza kabisa taifa, potelea pote, liwalo na liwe. Click to expand...
Alexander The Great said: Nashauri apewe urais JOB NDUGAI au KANGI LUGOLA. Itakaa poa sana. Si mmeamua kuliangamiza kabisa taifa, potelea pote, liwalo na liwe. Click to expand...
The unpaid Seller JF-Expert Member Joined Oct 27, 2019 Posts 2,207 Reaction score 6,618 Mar 19, 2023 #59 KAteme said: Kwa kuwa member humu nilidhani wewe pia ni critical thinker.. anyways, civics pia walitufundisha Kazi za makamu wa RAIS...au bado nikutafunie zaidi!? Click to expand... Achana na makukumu ya makawa wa raisi bla bla, yeye Maushungi jambo gani kafanya lenye kumtambulisha kwa umma achana na kutaja nyadhifa.
KAteme said: Kwa kuwa member humu nilidhani wewe pia ni critical thinker.. anyways, civics pia walitufundisha Kazi za makamu wa RAIS...au bado nikutafunie zaidi!? Click to expand... Achana na makukumu ya makawa wa raisi bla bla, yeye Maushungi jambo gani kafanya lenye kumtambulisha kwa umma achana na kutaja nyadhifa.
mzeewaSHY JF-Expert Member Joined Aug 31, 2021 Posts 8,912 Reaction score 8,635 Mar 19, 2023 #60 gambagumu said: Amefanya Nini cha kipekee kwa nafasi alizokwosha tumikia hadi afikiriwe kuwa anaweza kuwa Rais, all in all wananchi titamuua mda ukifika Click to expand... Wananchi !!
gambagumu said: Amefanya Nini cha kipekee kwa nafasi alizokwosha tumikia hadi afikiriwe kuwa anaweza kuwa Rais, all in all wananchi titamuua mda ukifika Click to expand... Wananchi !!