Bashite yuko live


this is absurd mimi sikubaliani na mtu huyu kutumia jeshi la polisi na jwtz kuvamia kituo kwa mambo binafsi hapana hapana hapana siku moja atalitumia pia kwenda kuua watu huko mitaani na jeshi letu la polisi wanatumiwaje na watu hawa ? big no
 
atumbuliwe tu huyo. hamna jinsi. ni adui wa watz na adui wa injili, adui wa Mungu kabisa.
 
Hahaha what the f*****
Kubwa la maduuii anafutilia mubasharaa.... Salut kwa aliye mpiga picha..
 
Mmmh yani sa hizi hata kumuamini mtu ni balaa maana naona hata hao watu wake wa karibu wanamsinichi hahahaaaaqa
Ha ha ha haaa.. inawekana "mama Daudi mwenyewe"Ndiye kapiga hii simu?
 
Pekee yangu naona bora pekee yake[emoji445] [emoji443]

Huu wimbo
 
kUDADADEKI KILA MTU KAMGEUKA...HANA PA KUJIFICHA
 
Siku hizi kelele nyingi sana. Watu walikuwa wanaimba aisee
Adili alikua fundi mno..
siku hiz eti 'nakula bata hadi kuku anaona wivu'.....basi wanajikuta wakaaaaali....mmxxeeeewww!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…