Tetesi: Bashite kuandaa shughuli nyingine Leaders siku ambayo tamasha la Fiesta limepangwa kufanyika

Clouds walimzalilisha sana Makonda bila sababu za msingi..Wanapojipambanua kuwa watu wasiwe kaa, wajiambie nao pia wasiwe kaa!

una maana bashite?? uyu kijana mwenye mashauzi na dharau kiwango cha lami?? hiki kimtu kina roho mbaya sana hakijui muda wa yule mkuu wake utaisha kitakuwa hakina kitu kuishi na watu vyema ni kitu kizuri sana
 
Anaandika Malisa GJ

Zkiwa zimebakia siku chache kabla ya kufanyika kwa tamasha la Fiesta, Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda amepiga marufuku matamasha yoyote ya muziki yanayozidi saa 6 usiku. Makonda amesema muda wa matamasha ya nje ni saa 6 usiku, na yeyote atakayezidisha muda huo atachukuliwa hatua kali kwa kuvunja sheria.
_
"Bado sheria haijabadilika. Mwisho wa matamasha ya muziki ya nje na kwenye bar ni saa 6 usiku. Anayetaka kuendelea aende club." Amesema Makonda leo kupitia Efm na kusisitiza kuwa amewaagiza Polisi kuzuia tamasha lolote litakalozidi saa 6 usiku, na kusema yeye mwenyewe huwa anatembea usiku kwahiyo atafanya monitoring kuhakikisha hakuna tamasha litakaloendelea baada ya muda huo.

Nini maoni yako??
 
Msemo huu kwa nini hauhusishi Kanisa!!?, au kuna ukweli kuwa kanisa sio nyumba ya Mungu eeeh..?
KUNA TOFAUTI KATI YA KANISA/HEKALU NA JENGO LA KANISA. KANISA/HEKALU LIKO NDANI YA MTU MWENYEWE (NDANI YA NAFSI) NA NDIO MAANA NENO LA MUNGU LINASEMA "JE HAMJUI KUWA NINYI NI HEKALU/KANISA LA MUNGU NA MUNGU ANAKAA NDANI YENU (SIO NDANI YA JENGO LA KANISA)"
 
Nimeipenda kampeni yao hakuna kuwa kaa hivi lemutuz ni msemaji wa bashite yaan yule babu yake keanu ana shida sana
 
Kwani shida ni nini jamani?
Fiesta ni kama harusi tu ambayo mwisho wake ni wahusika tu. Haina maslahi yoyote kwa Taifa.
 
Walikosea sana kuuweka msumeno kwenye sheria ulifaa kuwa karakana. Wameshachelewa.

Ndo unakata sasa.
 
Vita ya Ruge na Bashite ni burudani tosha, hawa wote ni waarabu wa Pemba kwahiyo watajijua wenyewe.
 
Back
Top Bottom