DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 24,049
- 30,957
Labda wote wawili wana vyeti feki, who knows ?Mbona unatetea uwongo? Rais amesema wenye vyeti feki wachukuliwe hatuwa, watu wamefukuzwa kazi, wengine wamepigwa fine. Inasemekana Mkuu wa Mkowa wa Dar es Salaam vyeti vyake pia si vya ukweli, amehojiwa ameshindwa kujieleza anapiga chenga. For public interest kama hana kitu cha kuficha si aonyeshe vyeti vyake kumtolea Rais tuhuma ya kupendelea? Kwani sauti za wananchi hazina maana. Pale penye public interest Rais Pamoja na kupenda lazima jambo hili aliangalie. Watanzania wote ni sawa kwenye jicho la sheria, hiyo ni ahadi mojawapo ya Rais Magufuli, akaze roho atatuwe hili jambo, Makonda anamchonganisha na wananchi, na maadui wa Rais wanafurahia jambo hili.
Isikilize vizuri. Spika alihoji bashite ndo nini, ndio akamtaja kuwa ni Paul makondaHuyo Mbunge lazima kaguswa kwenye maslahi yake, kwanza aliyemtaja hajulikani.
Hata aliyoyaongea ni kama yupo chini ya mti anapiga stori na wenzake, hii issue naona sasa kila mtu anatafutia kiki kujulikana, huku majimboni mwao hakuna wanalofanyia wananchi.
Sijui mnachaguaga wabunge wengine kwa sababu gani na wa nini huko mliko khaaaaaa
Hapa kazi tu
INimeishia ulipoandika "inasemekana"
Malizia kujisoma, sina muda wa kusoma udaku mnaouzungusha kisa mnaisoma namba na kusaga meno. Video iangalie mwenyewe tena then nitumie salamu kupitia TBC1 kuwa iliongelea nini, nitaje tu jina langu Cocochanel
Makonda oyeeeeeeee
Aya mwalimu wa kiswahili,ajira umepata au maana kolomije secondary wanaitaji mwalimu wa kiswahiliMkuu kwa kuandika "una" badala ya "huna" umeharibu maana yote ya comment yako!!
Aaaaah aaah. Ahsante. Naona ni yale mambo ya kasoro zenye kasoro. Hivi uwa ni siyo au sio?Pia ni Hua sio Uwa.
Akionyeshwa cheti uchumi wa nchi unakua kwa kasi sana?
Tanzania ni moja, hata kama bashite hausiki na jimbo lake ila hilo haliharamishi MB kuhoji cheti chake, tambua Bashite anatumikia waTz na huyo MB anawasaidia waTz walioko Dar kuhoji kiwango cha elimu cha kiongozi wao.Huyo mbunge ndio katumwa na wananchi wa jimbo lake kuhoji cheti cha mtu? Na akishakiona ndio jimbo lake litakuwa limetatua shida za Maji, hospital, miundombinu na mengineyo?
Hakuna la maana la kuongelea humo ndani? Wanaboaaaa
Mnaongea upuuz tupu...Mpe tigo, kama haitemi kama kwapa lakini- maana minjino njano walivyo anaweza kuwa anabweka kama mbuzi nikimpiga miti ka nguvu ya mamba
Acha kutetea uovu, kwani bungeni hoja ni maendeleo tu, msingi wa bunge ni kutunga sheria na kuisimamia serikali na unafaham fika kua kuna watanzania wamefukuzwa na wanaendlea kufukuzwa kazi kwa ishubya vyet na wengine wapo jela.Huyo mbunge ndio katumwa na wananchi wa jimbo lake kuhoji cheti cha mtu? Na akishakiona ndio jimbo lake litakuwa limetatua shida za Maji, hospital, miundombinu na mengineyo?
Halafu jitu jinga linakuja humu na povu linamtoka anatetea tu, km yeye angekua muhanga wa waliofungwa au kufukizwa kazi bila mafao angejua how it feels.Tuache double standard. Wale walioondolewa kwenye ajira kwa kughushi vyeti,je uchumi wetu umeongezeka? Tumeongeza GDP au PPP? Suala ni utaratibu na takwa la kisheria kuwa lazima kila mtumishi awe na vyeti halali,ni hilo tu!
Haya,Aya mwalimu wa kiswahili,ajira umepata au maana kolomije secondary wanaitaji mwalimu wa kiswahili
Aya mwalimu wa kiswahili,ajira umepata au maana kolomije secondary wanaitaji mwalimu wa kiswahili