GE2025 Bashiru: Samia amezishinda siasa uzalendo uchwara

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
505
Reaction score
887
"Umadhubuti wa Chama chetu na hasa umadhubuti wa uongozi wako Dkt. Samia Suluhu Hassan katika vipindi ambavyo dunia imetikiswa, si Tanzania peke yake, tumepigwa na korona, kuna mabadiliko ya tabia nchi, kuna vita ambavyo vinatikisa uchumi wa dunia lakini pia kumezuka siasa za kujitambulisha kwa uzalendo uchwara wa kidini, wa kikabila, hata ubaguzi wa rangi - nchi yetu Tanzania imeendelea kusimama imara bila kuyumba hata pale ambapo dunia imetikishwa. Kwahiyo nawahakikishia chini ya Dkt. Samia akiwa Rais baada ya nyie kumchagua lakini akiwa Mwenyekiti wetu, nchi yetu itabaki imara. Na mimi nakupongeza. Dkt Bashiru Ali

Your browser is not able to display this video.
 
Angalau Leo ametumia udr wake kujiweka mbali na unafiki.......Kuna kitu kakiona kutoka kwa hawa wachache wanaompigia kelele Samia, naye kwa ujanja sana wa kisomi, amepiga kwenye mshono.
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya Bashiru Ally huyu wa ccm, na yule Bashiru Ally wa Udsm.
 
Huyu ni mmoja wa wale waliookotwa jalalani.

Kila aliyeokotwa jalalani anafanya kila awezalo kuhakikisha harudi jalalani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…