DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
Bashiru Ally, ambaye ni Mbunge wa Kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amesema kuwa amani, haki na uhuru ni nguzo muhimu ambazo haziwezi kupuuzwa.
Ameyasema hayo wakati akifanya mahojiano na Mtangazaji Chief Odemba katika kipindi cha Medani Kuu cha Star TV.
Amesisitiza kuwa taifa lina wajibu wa kuimarisha na kulinda misingi hiyo kwa manufaa ya wananchi wote.