DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 24,049
- 30,954
na nyinyi chukueni sheria mukononiNi Katibu mkuu wa kikundi cha uporaji wa kura
na nyinyi chukueni sheria mukononiNi Katibu mkuu wa kikundi cha uporaji wa kura
Muda unaelekea ukingonina nyinyi chukueni sheria mukononi
Njaaaaaakwani ilikuwa lazima akubali uteuzi ule ?
Alafu ni miongoni ninaodhani wanatamani kuachia madaraka hata kesho
Hujamuelewa uliyemquoteNadhani sio zuhura huyo ni wa radio one atakuwa ni farihia midle
Nikikumbuka kwenye mchakato wa rasimu ya katiba ya Warioba jinsi polepole( chakubanga) alivyokuwa na akili na maono Mara gafla bin vuu Kawa Good luck Mlinga.Ukifika mlangoni unanyang'anywa akili zote
Asilaumiwe jamaniView attachment 1274046
Swali la mwandishi wa ITV:
..............................................
Kwanini wapinzani wanalalamika kuhusiana na uchaguzi huu ?
Jibu la Bashiru Ally :
..................................
Hilo swali muulize Zitto akujibu .
ohoooo !!Asilaumiwe jamaniView attachment 1276802
😆😆😆Nikikumbuka kwenye mchakato wa rasimu ya katiba ya Warioba jinsi polepole( chakubanga) alivyokuwa na akili na maono Mara gafla bin vuu Kawa Good luck Mlinga.