Bashe: Tunaweza badili Sheria lakini Mikitaba iliyopo isiathiriwe na Sheria

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
16,649
2,000
Nukuu kutoka kwa Mbunge wa Nzega mjini Hussein Bashe juu ya Report ya madini siku ya Leo 14/6/2017 ,,zitafakari mtanzania mwenzangu uupendaye uzalendo

"Kwa miaka mingi watu ambao tunatoka maeneo yaliyokuwa na migodi mikubwa tumekuwa tikilalamika sana juu ya marejesho na uwepo wa uwekezaji wa migodi hiyo, mimi natoka Nzega ukiniuliza leo 'Golden pride' ya Nzega toka imeanza miaka ya tisini mpaka imeondoka imefunga mgodi tumepata nini wananchi wa Nzega jibu hakuna na bahati mbaya ni kwamba kwa muda mrefu taifa lote limekuwa likilalamika, hata kipindi mimi nipo nje ya Bunge wabunge walikuwa wanalalamika wakisema juu ya mikataba, juu ya sheria kwamba hatufaidiki" alisema Bashe

"Kwa hiyo katika kipindi chote hicho nani alikuwa wa kuthubutu? Binafsi nampongeza sana Rais Magufuli kwa maamuzi ya kuamua kufukua hili dude, si vibaya kama Taifa kuanza upya, kwani taifa hili mwaka 1961 lilianza upya hakuna tatizo tumefanya makosa huko nyuma leo tuanze upya, na mimi hili suala la Rais kusema yupo tayari kukaa nao mezani kutaka na bunge lipitie sheria tu lisiishie kwenye sheria tu bali liende mbali zaidi mpaka mikataba yote ipitiwe ya madini, tunaweza kupitia sheria leo tukafanya mabadiliko ya sheria lakini mikataba iliyopo isiathiriwe na sheria iliyopo sababu sheria haiwezi kurudi nyuma bali inaanzia pale ilipoanzia kwenda mbele" alisisitiza Hussein Bashe.
 
chinembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
5,541
2,000
Kweli kabisa,sheria haiwezi kuwa retrospective ....ukiibadili leo haiathiri haki za mtu ambaye alisaini mkataba kabla ya sheria mpya kuwepo
 
Perfectz

JF-Expert Member
May 17, 2017
6,677
2,000
NI SAWA KABISA HII ITATUMIKA KWA MIKATABA MIPYA...KAMA VIPI TUJICHANGE TUVUNJE MIKATABA HII MIBOVU
 
Mr.Junior

JF-Expert Member
Sep 8, 2013
10,289
2,000
Nukuu kutoka kwa Mbunge wa Nzega mjini Hussein Bashe juu ya Report ya madini siku ya Leo 14/6/2017 ,,zitafakari mtanzania mwenzangu uupendaye uzalendo

"Kwa miaka mingi watu ambao tunatoka maeneo yaliyokuwa na migodi mikubwa tumekuwa tikilalamika sana juu ya marejesho na uwepo wa uwekezaji wa migodi hiyo, mimi natoka Nzega ukiniuliza leo 'Golden pride' ya Nzega toka imeanza miaka ya tisini mpaka imeondoka imefunga mgodi tumepata nini wananchi wa Nzega jibu hakuna na bahati mbaya ni kwamba kwa muda mrefu taifa lote limekuwa likilalamika, hata kipindi mimi nipo nje ya Bunge wabunge walikuwa wanalalamika wakisema juu ya mikataba, juu ya sheria kwamba hatufaidiki" alisema Bashe

"Kwa hiyo katika kipindi chote hicho nani alikuwa wa kuthubutu? Binafsi nampongeza sana Rais Magufuli kwa maamuzi ya kuamua kufukua hili dude, si vibaya kama Taifa kuanza upya, kwani taifa hili mwaka 1961 lilianza upya hakuna tatizo tumefanya makosa huko nyuma leo tuanze upya, na mimi hili suala la Rais kusema yupo tayari kukaa nao mezani kutaka na bunge lipitie sheria tu lisiishie kwenye sheria tu bali liende mbali zaidi mpaka mikataba yote ipitiwe ya madini, tunaweza kupitia sheria leo tukafanya mabadiliko ya sheria lakini mikataba iliyopo isiathiriwe na sheria iliyopo sababu sheria haiwezi kurudi nyuma bali inaanzia pale ilipoanzia kwenda mbele" alisisitiza Hussein Bashe.

Sheria ikabadirishwa leo hiathiri mikataba kivipi?

Mbona wanufaika wa mikopo kutoka HELSB wamebadirishiwa sheria na wameanza kulipa 15% wakati waliingia mkataba wa kukatwa 8%.

Wabunge wetu huko bungeni hamueleweki na Mungu anawaona.
 
MZEE MSASAMBEGU

JF-Expert Member
Apr 19, 2013
2,786
2,000
Sheria ikabadirishwa leo hiathiri mikataba kivipi?

Mbona wanufaika wa mikopo kutoka HELSB wamebadirishiwa sheria na wameanza kulipa 15% wakati waliingia mkataba wa kukatwa 8%.

Wabunge wetu huko bungeni hamueleweki na Mungu anawaona.
Hahaaaaah
 
Justine Makula Nangale

Senior Member
Mar 22, 2017
168
225

Very nice speech kutoka kwa bashe.
Kuna wamapongeza tu bali wanaogopa kusema kama tulikwaa Tena kwa kusababishwa na CCM hii hii!
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
30,231
2,000
Sheria ikabadirishwa leo hiathiri mikataba kivipi?

Mbona wanufaika wa mikopo kutoka HELSB wamebadirishiwa sheria na wameanza kulipa 15% wakati waliingia mkataba wa kukatwa 8%.

Wabunge wetu huko bungeni hamueleweki na Mungu anawaona.
Hapa umeweka kisu kwenye mfupa.
 
balogun

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
578
500
Sheria ikabadirishwa leo hiathiri mikataba kivipi?

Mbona wanufaika wa mikopo kutoka HELSB wamebadirishiwa sheria na wameanza kulipa 15% wakati waliingia mkataba wa kukatwa 8%.

Wabunge wetu huko bungeni hamueleweki na Mungu anawaona.
Good argument
 
HEKIMA KWANZA

JF-Expert Member
Mar 31, 2015
2,886
2,000
Sheria ikabadirishwa leo hiathiri mikataba kivipi?

Mbona wanufaika wa mikopo kutoka HELSB wamebadirishiwa sheria na wameanza kulipa 15% wakati waliingia mkataba wa kukatwa 8%.

Wabunge wetu huko bungeni hamueleweki na Mungu anawaona.
Bashe kakumbushwa na bosi wake apige kelele ili mikataba ya nyuma ibake kama ilivyo.
 
mwanadome

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
4,073
2,000

Sheria ikabadirishwa leo hiathiri mikataba kivipi?

Mbona wanufaika wa mikopo kutoka HELSB wamebadirishiwa sheria na wameanza kulipa 15% wakati waliingia mkataba wa kukatwa 8%.

Wabunge wetu huko bungeni hamueleweki na Mungu anawaona.
Mkuu kwene hilo la mikopo ni ubabe tuu wa kisukuma ndo umesababisha liwe hivyo
 
Mkumbwa Jr

JF-Expert Member
Mar 23, 2016
1,179
2,000
Bashe namkubali sana huyu jamaa

Bashe udumu milele katika mioyo ya watanzania wazalendo wasiokua na itikadi za vyama
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom