Bashe: TCU na wizara ya elimu inachokifanya ni zaidi ya madawa ya kulevya

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,883
FB_IMG_1488201935481.jpg


"TCU na Wizara ya elimu wanachofanya kwenye elimu ya nchi yetu ni hatari kuliko Madawa ya kulevya. Elimu imegeuzwa uwanja wa experiment" - Mbunge Hussein Bashe

Nini maoni yako?
 
View attachment 475142 "TCU na Wizara ya elimu wanachofanya kwenye elimu ya nchi yetu ni hatari kuliko Madawa ya kulevya. Elimu imegeuzwa uwanja wa experiment" - Mbunge Hussein Bashe

Nini maoni yako?
Sina cha kuongeza.Usingekuwa sahihi zaidi.Ingawa madawa ya kulevya nayo yanahitaji kupigwa vita.Upo mchezo mchafu unaochezwa kwenye elimu yetu.Katika mchezo huu wapo wadau wa ndani na nje.Kikulacho kinguoni mwako waswahili walisema.
 
Subirini Sizonje apate jukwaa...utashangaa 100% on Ndali's side, full unoko!
 
Mama yupo sahihi,kosa (miluziii mingiii humpoteza mbwa na asijue muelekeo na kubaki katikati akizungusha mkia huku akibweka bila kutambua ni nini kinamfanya kubweka)
 
Kwa kweli TCU inashangaza sana.Wanafunzi iwachague wenyewe halafu iseme ni wanafunzi feki.

Haya ni maajabu mapya ya dunia.
Wasivyo na haya hawa TCU wanasingizia vyuo kuwa ndivyo vilivyo na wanafunzi wasio na sifa! Maajabu hayataisha kwenye hii wizara.
 
Katika mambo yatakayo tugharim awamu hii ni uwepo wa huyu Prof Ndalichako
Huyu mama amekua na matamko na mikakati ya hovyo sana, hii ni hatari na inaleta taswira mbaya kwa viongozi wanawake.
Kwa kifupi anawaharibia wanawake CV zao.
Kazi kubwa aliyofanya mpaka sasa ni kupiga marufuvu uvaaji majoho kwa vidudu na. chekechea
 
Back
Top Bottom