Kama tutakuwa hatujamfukuza kabla ya 2020 basi akatambikie!Bashe ndani ya mwaka mmoja na nusu
-Ambulance
-ujenzi wa madarasa na shule
-kisima
-ujenzi wa barabara
-zahanati 8 ,baadhi zishaanza kujengwa
-tiba kwa wazee bure
-bima kwa wana nzega
Safi sana nguruma bungeni na huku jimboni Fanya ya maana ,..
Mbunge ambaye yupo responsible sana hakika ni Bashe ,ccm 2025 msifanye makosa kumuondoa jimbo mtalikosa
Vipi maendeleo ya Tanzania kwa magufuli.Vipi Maendeleo ya Singida Mashariki Kwa Tundu Lissu.
Na haimbembelezi, inamuelekeza....yeye yuko extremely straight....nje ya alipo hakuna atakaemvumilia, labda kiduuugu ACT...kwa mamvi ndo watafukuza asubuhi asubuhi....maanake wataona hata mambo ya " Mzee wa ujira mwia", ni kama vigeregere tu....ndio maana ccm inambembeleza asijivue uanachama
Naona una hamu na matusi ya BAWACHAVipi Maendeleo ya Singida Mashariki Kwa Tundu Lissu.
Political values, ndio maana yake.Hyo kwa sasa ina maana gani??