ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,843
- 90,353
Naunga mkono hoja ya Waziri wa Kilimo bwana Bashe kupiga marufuku wauza Madawa ya Kilimo na mifugo ambao hawajasomea na tumechelewa sana.
Ni aibu mkulima.kuingizwa kwenye hasara ya mbegu Feki wakati Serikali ipo na wakala wa udhibiti ubora wa mbegu TOSCI wapo.
Hata swala la kuuza Madawa ya Kilimo ,tumechelewa sana hapo Kenya walishapiga marufuku miaka 3 iliyopita kuuza maduka ya pembejea za Kilimo kama huna cheti ch Taaluma.
Afadhari Sasa tumeanza kuliko uholela uliokuwepo.
View: https://www.instagram.com/p/DDsCoHkI27U/?igsh=MW1jZnhuMTd0aDdibA==
My Take
Wapenzi wa miezi 4 wawe wameajiri waliosomea.
Hongera bwana Mpina Kwa kupambania swala la mbegu Feki.