BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,549
- 14,222
Naombea program hii ianze mapema ili baadae 2025 iwe fimbo ya kuwachapia...Hii program itafeli vibaya sana.
Nzuri sawa ila kwa staili hii ya kuwalenga UVCCM haitafika kokotehii programu ni nzuri sana na imelenga kuwakwamua vijana kiuchumi.
tatizo vijana walio wengi bado ni wavivu na hawapendi shughuli za kilimo.
nashauri programu hii iwalenge wakulima wa rika zote yaani; vijana, wababa na wamama.
Isha feli, hii ni program ya UVCCMHii program itafeli vibaya sana.
Hii nchi kwakweli ni ya kusadikikaHii nchi hapa ndio huwa tunakwama kwamba hakuna jambo linaenda bila kuwa na element za siasa ndani yake, Nilitarajia Program ya Bashe iwe ya kusasa na kushindana na Program kama hizi kule Egypt ambako ndio wanao zalisha machungw ana kutuuzia Tanzania.
Sasa ghafla imegeuka kuwa ya UVCCM yaani kipa umbele sasa ni uwe mwan CCM ndio uweze kupewa Block, sio tena kwa vijana wenye hari ya kulima hapanaView attachment 2478923
unao ushahidi wa unacho kisema?Nzuri sawa ila kwa staili hii ya kuwalenga UVCCM haitafika kokote
Shame on Bashe for politicisation of development projects. Shame on Bashe for the blatantly discriminatory inclination on important national matters. Shame.....Hii nchi hapa ndio huwa tunakwama kwamba hakuna jambo linaenda bila kuwa na element za siasa ndani yake, Nilitarajia Program ya Bashe iwe ya kusasa na kushindana na Program kama hizi kule Egypt ambako ndio wanao zalisha machungw ana kutuuzia Tanzania.
Sasa ghafla imegeuka kuwa ya UVCCM yaani kipa umbele sasa ni uwe mwan CCM ndio uweze kupewa Block, sio tena kwa vijana wenye hari ya kulima hapanaView attachment 2478923
Hapo wanaandaa mazingira ya kupiga pesa tu, Waziri wa Kilimo atujawahi ata kusikia amekwenda Israel au Misri kwenda kufahamu ni namna gani wenzetu wanafanya maboresho na kuendesha programs za Kilimo.Hii nchi hapa ndio huwa tunakwama kwamba hakuna jambo linaenda bila kuwa na element za siasa ndani yake, Nilitarajia Program ya Bashe iwe ya kusasa na kushindana na Program kama hizi kule Egypt ambako ndio wanao zalisha machungw ana kutuuzia Tanzania.
Sasa ghafla imegeuka kuwa ya UVCCM yaani kipa umbele sasa ni uwe mwan CCM ndio uweze kupewa Block, sio tena kwa vijana wenye hari ya kulima hapanaView attachment 2478923
Wanaturudisha enzi za miradi hewa ya SUKITA.....Hapo wanaandaa mazingira ya kupiga pesa tu, Waziri wa Kilimo atujawahi ata kusikia amekwenda Israel au Misri kwenda kufahamu ni namna gani wenzetu wanafanya maboresho na kuendesha programs za Kilimo.
Huyu jamaa ni vile Mama hajamshitukia,ni mtu wa porojo na majigambo,hana jipya.
Kama wanataka kulima seriously,wangewezesha mashirika ya SUMA JKT na Magereza wakisaidiwa na SUA.Na Ili kuwepo na tija kwenye Kilimo vijana waliopitia SUA wangepewa kipao mbele.Uzalishaji mkubwa wa hizi blocks ungevutia wawekezaji kwenye Agro-processing industries!
Kilimo siyo cha kila mtu,vijana wenyewe hawa kazi kubet tu,wanaweza kulima na kusimamia mashamba?
Kweli Mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanaturudisha enzi za miradi hewa ya SUKITA.....
Kwa niniHii program itafeli vibaya sana.