Bashe avua gamba

Status
Not open for further replies.
Bila shaka wanajaza nafasi ya zzk
 
Vichekesho vingine bwana?

Siku zote kwenye mkusanyiko wa mambulumundu hapakosi vituko
 
Hongera... umetumia uhuru wako
 
Wenye kujitambuwa hupanda basi lililo bora, jipya na nafasi ikiwemo ndani ya kutosha

sasa mtu na akili yake anajitowa chadema na kuenda ccm unategemea Wassira akuachie nafasi kweli....?? niwapumbavu tu...

Bashe mjanja anafahamu fika kwamba kupitia chadema ubunge hataukosa maana basi la cdm ni jipya na kunanafasi.
 
Kama ndivyo ni haki yake hakuna anaemkataza.
 

Kwamba kafuata ubunge au???!!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…