Bashe anatafutwa ajae kwenye mfumo, sijui kama atafika Pasaka

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,717
106,183
Nakupa dokezo.
Yote yaliyotokea wiki jana na yanayoendelea huku mkuu akiwa kimya, ni kwamba anayetafutwa ni Bashe.

Makonda hatoi matamko dhidi ya Bashe kwa bahati mbaya. Kuna ligi ya siasa na magomvi yanayoendelea kule kwao. January walijaribu kumtafuta kwenye vikao vya kamati, ikashindikana. Mitego ni mingi, bado hajajaa sawa sawa kwenye mfumo ili azamishwe mazima.

Bado hawajakata tamaa
 
Naunga mkono hoja
 
kwa bashe hawatamuweza,ni mtu makini sana,na ana uwezo mkubwa sana kujieleza na on top of that Godfather ni mtu powerful
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…