Whitesmith
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 454
- 635
Habari ya weekend ndg wana GT
Kwa wanaofuatilia mambo ni kweli sasa somo la NRNE inaanza kueleweka kwa watendaji wa serikali.
Ndani ya wiki moja tumeona mambo mawili;
1: Makondo anawaita Shirika la Nyumbu Arusha kuona namna yakufufua kiwanda cha General tyre.
2: Waziri Bashe anakiri tena somo la uchumi linalotolewa na Heche kama funzo, kuwa walifanya wrong privatization na uchumi wa ndani unamilikiwa na wageni.
Nitaendelea kuchangia NRNE, siyo kwa sabubu nyingine yoyote ila kulikomboa nchi yangu na udhalimu wa CCM