katika kuhakikisha ku kuna kila sababu ya kutaka mabadiliko tayari yule walie dai si raia wa TANZANIA HUSSEIN bashe amemtak katibu wake mkuu kuitisha kikako cha kamati kuu ili kujadili mwenendo wa chama hicho lakini anakili kua amejaribu kila njia kuomba kikao lakini imeshindikana kutokana na kutojua sababu hivyo kaamua kufyatuka kama hivi
Ndg yangu Shigela Umewadia wakati wa ww kuita Baraza kuu la Uvccm Taifa tuna wajibu wa kukutana na kujadili kama Taifa tunapitia kipindi kigumu ambacho sisi kama Vijana wa Chama kinachoongoza (sipendi kutumia neno chama kinachotawala) tunatakiwa kukutana tena Haraka kuna mambo mengi yakujadili kwa Maslahi ya Taifa letu na Chama chetu.
Ninafahamu utasema Gharama ya Kuita Baraza kwa maana ya POSHO za wajumbe ita Baraza bila POSHO historia ya Nchi yetu wazee wetu walikua wanakutana bila kulipana posho tujitolee wenye uchungu na JUMUIYA,CHAMA ,na Taifa watahudhuria,leo Vijana ajira zinapotea,maisha yanazidi kua magumu,waathirika wakubwa ni Vijana multiplier effect yake ni kubwa,CDM wanatumia haya matatizo kama Mtaji wao wa kisiasa jambo ambalo mm sishangai kwa kuwa sisi wenyewe tumeridhika ama hatuoni haya matatizo ama ni ule utaratibu WA BUSINESS AS USAL,hatuonekani kama we are there to listen help and guide walotupa DHAMANA,kaka yangu MARTIN things are not the way we think they are.
Itisha baraza kuu tukutane we have obligations to this party and this country tumetoka katika uchaguzi october leo ni almost miezi 5 tumeshinda but si ushindi mzuri,tusidhani we are in a safe hands,tusidhani tuko kwenye mfumo wa chama kimoja,wadogo zetu katika sekondari wamefeli,kilimo mpaka sasa kimeshindwa kuwasaidia,ajira sasa viwandani zinapungua UVCCM has to do something TUNAOMBA BARAZA KUU