Nimesikitishwa na hoja ya mbunge wa Nzega Mjini ndugu Hussein M. Bashe aliyoitoa akitaka uongozi wa bunge usiwalipe posho wabunge wanaosusia kuchangia mijadala ya bajeti.
Hivi kumbe huwa mnachangia mijadala kwenye vikao vya bunge ili mpate posho? this is ridiculous.
Nilidhania mnachangia mijadala ya bajeti kwa ajili ya wananchi waliowachagua kumbe kwa ajili ya posho? Mental disability hii ni hasara kwa waliomchagua.
Bashe kwa hiyo unataka kutuambia watanzania kwamba zaidi ya wabunge 200 wa CCM ambao hawachangiagi mijadala yoyote bungeni wao kazi yao ni kuingia,kutoka na kusaini posho nao wasilipwe posho pia?au una maana gani? My GOD inamaana ccm ndio haina mbunge mwingine mwenye akili?
Yani badala ya kuchangia bajeti ili wananchi wako wapate maji barabara zahanati madawa wewe unachangia bajeti kwa matwaka ya serikali uliyopaswa kuisimamia ili upate posho? Hivi wabunge wa Tabora mkoje mbunge mstaafu wa urambo samuel sita naye alishawahi kuanzisha mgomo chuo kikuu UDSM kisa anataka maziwa ya siagi wakati kwao alikuwa anaamkia upolo na maharagwe.
by
mdude nyagali

Akili za kiharamia, arudi tu kwaoNimesikitishwa na hoja ya mbunge wa Nzega Mjini ndugu Hussein M. Bashe aliyoitoa akitaka uongozi wa bunge usiwalipe posho wabunge wanaosusia kuchangia mijadala ya bajeti.
Hivi kumbe huwa mnachangia mijadala kwenye vikao vya bunge ili mpate posho? this is ridiculous.
Nilidhania mnachangia mijadala ya bajeti kwa ajili ya wananchi waliowachagua kumbe kwa ajili ya posho? Mental disability hii ni hasara kwa waliomchagua.
Bashe kwa hiyo unataka kutuambia watanzania kwamba zaidi ya wabunge 200 wa CCM ambao hawachangiagi mijadala yoyote bungeni wao kazi yao ni kuingia,kutoka na kusaini posho nao wasilipwe posho pia?au una maana gani? My GOD inamaana ccm ndio haina mbunge mwingine mwenye akili?
Yani badala ya kuchangia bajeti ili wananchi wako wapate maji barabara zahanati madawa wewe unachangia bajeti kwa matwaka ya serikali uliyopaswa kuisimamia ili upate posho? Hivi wabunge wa Tabora mkoje mbunge mstaafu wa urambo samuel sita naye alishawahi kuanzisha mgomo chuo kikuu UDSM kisa anataka maziwa ya siagi wakati kwao alikuwa anaamkia upolo na maharagwe.
by
mdude nyagali
Nimesikitishwa na hoja ya mbunge wa Nzega Mjini ndugu Hussein M. Bashe aliyoitoa akitaka uongozi wa bunge usiwalipe posho wabunge wanaosusia kuchangia mijadala ya bajeti.
Hivi kumbe huwa mnachangia mijadala kwenye vikao vya bunge ili mpate posho? this is ridiculous.
Nilidhania mnachangia mijadala ya bajeti kwa ajili ya wananchi waliowachagua kumbe kwa ajili ya posho? Mental disability hii ni hasara kwa waliomchagua.
Bashe kwa hiyo unataka kutuambia watanzania kwamba zaidi ya wabunge 200 wa CCM ambao hawachangiagi mijadala yoyote bungeni wao kazi yao ni kuingia,kutoka na kusaini posho nao wasilipwe posho pia?au una maana gani? My GOD inamaana ccm ndio haina mbunge mwingine mwenye akili?
Yani badala ya kuchangia bajeti ili wananchi wako wapate maji barabara zahanati madawa wewe unachangia bajeti kwa matwaka ya serikali uliyopaswa kuisimamia ili upate posho? Hivi wabunge wa Tabora mkoje mbunge mstaafu wa urambo samuel sita naye alishawahi kuanzisha mgomo chuo kikuu UDSM kisa anataka maziwa ya siagi wakati kwao alikuwa anaamkia upolo na maharagwe.
by
mdude nyagali
Siasa ina mambo yake....lakini nikuulize bro...kwani bungeni wameenda kufanya nini? Wanalipwa kwa activities gani? Tunaskia tu kususia hoja,mada...mijadala....mbona hatuwaskii wakikataa kulipwa hizo siku ambazo hawakueatumikia wananchi? Kiukweli hata kama ni wewe uko na genge lako la nyanya na muuzaji analeta mbwembwe....utafanyaje? Tuache ushabiki...ifike mahali tuseme ukweli...hata kama utatuumiza....Kususia kwenye siasa za Tanzania hakufanikishi jambo.Nimesikitishwa na hoja ya mbunge wa Nzega Mjini ndugu Hussein M. Bashe aliyoitoa akitaka uongozi wa bunge usiwalipe posho wabunge wanaosusia kuchangia mijadala ya bajeti.
Hivi kumbe huwa mnachangia mijadala kwenye vikao vya bunge ili mpate posho? this is ridiculous.
Nilidhania mnachangia mijadala ya bajeti kwa ajili ya wananchi waliowachagua kumbe kwa ajili ya posho? Mental disability hii ni hasara kwa waliomchagua.
Bashe kwa hiyo unataka kutuambia watanzania kwamba zaidi ya wabunge 200 wa CCM ambao hawachangiagi mijadala yoyote bungeni wao kazi yao ni kuingia,kutoka na kusaini posho nao wasilipwe posho pia?au una maana gani? My GOD inamaana ccm ndio haina mbunge mwingine mwenye akili?
Yani badala ya kuchangia bajeti ili wananchi wako wapate maji barabara zahanati madawa wewe unachangia bajeti kwa matwaka ya serikali uliyopaswa kuisimamia ili upate posho? Hivi wabunge wa Tabora mkoje mbunge mstaafu wa urambo samuel sita naye alishawahi kuanzisha mgomo chuo kikuu UDSM kisa anataka maziwa ya siagi wakati kwao alikuwa anaamkia upolo na maharagwe.
by
mdude nyagali
Kulala, kupiga vigeregere na ndiyooooooooo.Inasikitisha kwa kweli na inauma sana richa ya kuwa ni mbunge lakini ni binadamu mwenzetu kwa hiyo tunapoona akili yake inakuwa contaminated inatuuma sana!
Huwezi ukatoa hoja kama hiyo wakati chama chake kina wabunge zaidi ya mia ambao kazi yao ni kulala tu na wanapokea posho
Wewe umemchagua nani mnafiki mkubwa wewe!?Kama wanasusa basi wasuse na posho ,wasiishie kususa mijadala tu,hatukuwachagua kwenda kufuata matakwa binfsi ya Mbowe na timu yake,wakumbuke hawakuchaguliwa na Mbowe huko majimboni
Ni mbunge kupiti chama gani?Huyu ndo kijana wa Lowasa kazi kweli
Tupe ukweli uliousikia mkuuMleta mada acha kupotosha Nimemsikiliza vizuri Bashe hayo uliyoyaleta hapa ni uongo dhahiri na sijui malengo yako ni yapi....dhambi ya uongo ni mbaya sana
Kazi kubwa sanaHuyu ndo kijana wa Lowasa kazi kweli