Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Nimesikitishwa na hoja ya mbunge wa Nzega Mjini ndugu Hussein M. Bashe aliyoitoa akitaka uongozi wa bunge usiwalipe posho wabunge wanaosusia kuchangia mijadala ya bajeti.
Hivi kumbe huwa mnachangia mijadala kwenye vikao vya bunge ili mpate posho? this is ridiculous.
Nilidhania mnachangia mijadala ya bajeti kwa ajili ya wananchi waliowachagua kumbe kwa ajili ya posho? Mental disability hii ni hasara kwa waliomchagua.
Bashe kwa hiyo unataka kutuambia watanzania kwamba zaidi ya wabunge 200 wa CCM ambao hawachangiagi mijadala yoyote bungeni wao kazi yao ni kuingia,kutoka na kusaini posho nao wasilipwe posho pia?au una maana gani? My GOD inamaana ccm ndio haina mbunge mwingine mwenye akili?
Yani badala ya kuchangia bajeti ili wananchi wako wapate maji barabara zahanati madawa wewe unachangia bajeti kwa matwaka ya serikali uliyopaswa kuisimamia ili upate posho? Hivi wabunge wa Tabora mkoje mbunge mstaafu wa urambo samuel sita naye alishawahi kuanzisha mgomo chuo kikuu UDSM kisa anataka maziwa ya siagi wakati kwao alikuwa anaamkia upolo na maharagwe.
by
mdude nyagali