Mtumishiwetu
Senior Member
- Jul 13, 2022
- 198
- 361
Ni wazo zuri ila swali la msingi ni labda amewatumia kwa kiasi gani washauri wake walioko pale wizarani!!"Ukiwa na muda tafadhali nipe mawazo yako kuhusu Kilimo na usalama wa Chakula kwa nchi za Afrika haswa hapa nyumbani kwetu Tanzania Nini kifanyike? Nini kiboreshwe?" amesema Bashe
Ni mwaka gani ambapo jpm, alizuia mazao kwenda nje?!Kipindi yupo magufuli wafanyabiashara walizuiliwa kupeleka mazao nje ya nchi nazani unakumbuka kilichotokea
Kilimo ni zaidi ya kutoa mbolea za ruzuku, sasa wao kwa sasa ni sifa tu kuwa tumetoa mbolea kwa bei nafuu, wakati, kilimo ni zaidi ya mbolea, haya sasa umetoa mbolea hata bure, mvua hakuna, na hakuna mikakati ya kilimo cha umwagiliaji, hayo mavuno yanatoka wapi?Ni wazo zuri ila swali la msingi ni labda amewatumia kwa kiasi gani washauri wake walioko pale wizarani!!
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kwa mara ya kwanza amejitokeza hadharani kuomba msaada wa mawazo na ushauri wa namna ya kuendesha Wizara ya Kilimo.
"Ukiwa na muda tafadhali nipe mawazo yako kuhusu Kilimo na usalama wa Chakula kwa nchi za Afrika haswa hapa nyumbani kwetu Tanzania Nini kifanyike? Nini kiboreshwe?" amesema Bashe
Maswali ya kujiuliza Bunge la Bajeti limemalizika mwezi Juni. je mambo yote yaliyoshauriwa na wabunge kuhusu Kilimo ameshayamaliza kuyafanyia kazi.?
Je anamuonesha Mhe. Rais kuwa alimteua mtu ambaye hajui cha kufanya Wizara ya Kilimo hadi aanze kuokoteza mawazo kwenye mitandao? na je anaamini wakulima wako Instagramu?
Au ndio ile kauli ya mfa maji haishi kutapata baada ya usimamizi mbovu wa wizara na kusababisha nchi kukumbwa na baa la njaa kutokana na usimamizi mbovu kuruhusu wananchi wa mataifa mengine kuingia vijijini mashambani na kununua mazao moja kwa moja hadi Japan kuamua kuingia kati kusaidia Tanzania fedha kwa ajili ya ununuzi wa chakula?
Mimi nadhani ni muda sasa kwa Waziri Bashe kujiuzulu ili kumpa nafasi Mheshimiwa Rais kutafuta mtu mwingine atakayeweza kusimamia sekta ya kilimo na tuondokane na baa la njaa alilolisababisha Bashe
Kuomba ushauri zaidi haimaanishi kushindwa bali anataka ushauri hadi kwa uwakilishi wa levo ya chini.Namwambia mh kuwa zoezi la kujiandikisha mbolea za ruzuku baadhi ya maeneo kuna urasimu.Pili watu kuuza mahindi yao kwa wanunuzi wa nje si mbaya ukizingatia bei za mbolea zilivyokuwa ghali acha wajilipe.Muhimu serikali kama inataka akiba ya kutosha iwe inanunuwa mapema si inakuja baada ya wanunuzi binafsi.La mwisho bei za pembejeo zishuke kwa ujumla si kwa ruzuku tu.Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kwa mara ya kwanza amejitokeza hadharani kuomba msaada wa mawazo na ushauri wa namna ya kuendesha Wizara ya Kilimo.
"Ukiwa na muda tafadhali nipe mawazo yako kuhusu Kilimo na usalama wa Chakula kwa nchi za Afrika haswa hapa nyumbani kwetu Tanzania Nini kifanyike? Nini kiboreshwe?" amesema Bashe
Maswali ya kujiuliza Bunge la Bajeti limemalizika mwezi Juni. je mambo yote yaliyoshauriwa na wabunge kuhusu Kilimo ameshayamaliza kuyafanyia kazi.?
Je anamuonesha Mhe. Rais kuwa alimteua mtu ambaye hajui cha kufanya Wizara ya Kilimo hadi aanze kuokoteza mawazo kwenye mitandao? na je anaamini wakulima wako Instagramu?
Au ndio ile kauli ya mfa maji haishi kutapata baada ya usimamizi mbovu wa wizara na kusababisha nchi kukumbwa na baa la njaa kutokana na usimamizi mbovu kuruhusu wananchi wa mataifa mengine kuingia vijijini mashambani na kununua mazao moja kwa moja hadi Japan kuamua kuingia kati kusaidia Tanzania fedha kwa ajili ya ununuzi wa chakula?
Mimi nadhani ni muda sasa kwa Waziri Bashe kujiuzulu ili kumpa nafasi Mheshimiwa Rais kutafuta mtu mwingine atakayeweza kusimamia sekta ya kilimo na tuondokane na baa la njaa alilolisababisha Bashe
Ss si ndo muwasiliane nae kasemaKilimo ni zaidi ya kutoa mbolea za ruzuku, sasa wao kwa sasa ni sifa tu kuwa tumetoa mbolea kwa bei nafuu, wakati, kilimo ni zaidi ya mbolea, haya sasa umetoa mbolea hata bure, mvua hakuna, na hakuna mikakati ya kilimo cha umwagiliaji, hayo mavuno yanatoka wapi?
Uuzaji nao ni shida, kwenye bei