Tuliza kipapa wewe!! Uko kama kirusi , kila sehemu kazi yako kupekenyua tu!!Ni maamuzi sahihi. Mimi mwenyewe huo wimbo sikuupenda kabisa
Naandika huu walaka tuko na masela tunakula ganja. Kala Jeremiah in waambieni
Wanangu nyongeni ganja musiogope polisi ila msile unga mtapoteza nafasi. Ney wa mitego in salamu zao
Ndoto zangu kitambo zilikuwa nije kuwa paster zikayeyuka nilipopuliza moshi wa weed. Roma in mathematics
Tunaenda kupata nyasi. Ngweah in mikasi
Kama kutaja bange ndo chanzo cha wimbo kufungiwa basi wangefunga kwanza hizo nilizoorodhesha hapo juu
Yani wamekosa kufungia hizi nyimbo zinazohamisisha ngono mara inama sijue chumba mbona nisukume sijui nini wanafungua nyimbo ya maana inayohamasisha tiba mbadala ya mmea.BASATA leo imeufungia wimbo wa JideJaydee 'one time' kwa sababu za kimaadili, MxCarter
amethibitisha kupokea barua hiyo na kusema japo haijafafanua kosa lenyewe lakini inaaminika ni mstari unaoimba "tu-smoke weed japo one
time"
MY TAKE: Sioni maana ya kufungia nyimbo ya msanii wa kitanzania kwa kutaja bangi mara moja wakati nyimbo za kimarekani, kinajeria, kupigwa na zina hamasisha bangi, ngono, pombe, kila aina ya uchafu.
Yaani hiyo ndio sababu?BASATA leo imeufungia wimbo wa JideJaydee 'one time' kwa sababu za kimaadili, MxCarter
amethibitisha kupokea barua hiyo na kusema japo haijafafanua kosa lenyewe lakini inaaminika ni mstari unaoimba "tu-smoke weed japo one
time"
MY TAKE: Sioni maana ya kufungia nyimbo ya msanii wa kitanzania kwa kutaja bangi mara moja wakati nyimbo za kimarekani, kinajeria, kupigwa na zina hamasisha bangi, ngono, pombe, kila aina ya uchafu.
Zipo nyimbo nyingi sana za bongo Flava zinazoimb matusi waziwazi mpaka unaniuliza BASATA wako wapi na wanafanya kazi gani. Huenda lady j alikataa kushiriki kampeniBASATA leo imeufungia wimbo wa JideJaydee 'one time' kwa sababu za kimaadili, MxCarter