Mocumentary
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 834
- 2,158
BASATA leo imeufungia wimbo wa JideJaydee 'one time' kwa sababu za kimaadili, MxCarter
amethibitisha kupokea barua hiyo na kusema japo haijafafanua kosa lenyewe lakini inaaminika ni mstari unaoimba "tu-smoke weed japo one
time"
MY TAKE: Sioni maana ya kufungia nyimbo ya msanii wa kitanzania kwa kutaja bangi mara moja wakati nyimbo za kimarekani, kinajeria, kupigwa na zina hamasisha bangi, ngono, pombe, kila aina ya uchafu.
Pia Soma: Utata: Msanii Roma Mkatoliki na wenzake wakamatwa/tekwa nyara