Wakati wasanii wakikaangwa na mashabiki kwa kukosa matamasha na uungwaji mkono kwenye majukwaa ya mitandao ya kijamii, hatuoni BASATA wakifanya juhudi zozote kuwasaidia. Wapo kimyaaaaa, kama vile BASATA imefutwa.
Mpk wadau binafsi kama Majizzo wanachukua hatua ya kuja mbele ya vyombo vya habari na kuwaombea radhi wasanii ili maisha yarudi kama mwanzo lkn taasisi ambayo ndiyo mlezi wa wasanii ipo kimyaaaa!!!
Lkn kama kungelikuwa na wimbo wa kuikashifu serikali au msanii angelikuwa kakosea jambo ktk wimbo wake, BASATA ingekuwa ishatoka siku nyingi na rungu kubwa la kumpigia msanii.
(BASATA= BAraza la SArafu TAnzania) wanajua kukusanya hela tu.