Sele Mkonje JF-Expert Member Joined Oct 2, 2011 Posts 643 Reaction score 846 May 20, 2016 #1 msanii Belly ametoa video yake inayoitwa Zanzibar. kama kweli BASATA wanafanya kazi kihalali basi hii video haitapigwa Tz ila kama nao wanafungia tu mavideo kupata kiki kwenye media basi waiache.
msanii Belly ametoa video yake inayoitwa Zanzibar. kama kweli BASATA wanafanya kazi kihalali basi hii video haitapigwa Tz ila kama nao wanafungia tu mavideo kupata kiki kwenye media basi waiache.
yoga JF-Expert Member Joined Jan 6, 2013 Posts 2,004 Reaction score 10,399 May 20, 2016 #2 hahahahahaha!! na mi ntaenda zanzibar kwa staili hii
Kanali G JF-Expert Member Joined Oct 21, 2013 Posts 9,897 Reaction score 14,456 May 20, 2016 #3 Chura ni malaika kwa hii
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,443 Reaction score 872,046 May 20, 2016 #4 Mmh mbona kama hapo sio bongo?
Mwanamwana Platinum Member Joined Aug 1, 2011 Posts 9,604 Reaction score 22,723 May 20, 2016 #5 Sioni Tatizo hapo, mbona kichupa cha Mtoni alafu BASATA hawana mamlaka ya kuifungia.