Basata tena?? Hili kwangu jipya nimerenew lesen mwezi wa nne mwaka huu sijakutana na ili ila lesen ya vifaa vya ujenzi ni laki na nusu leseni mwaka huu wamezinyumbulishwa sana mwanzo ukiwa unauza bidhaa tofauti tofauti unalipia leseni moja ila saiv unajikuta unalipia leseni 3 hadi 5 tofauti tofauti