enzi hizo hakuna maugomvi ya simu
raha tupu
simu zimekompliketi sana mambo...bora zamani!!enzi hizo hakuna maugomvi ya simu
raha tupu
Zilikuwa zaidi ya moja bana acha hizo
Weeh hivi vyenye courage ya kumwandikia mtu huwezi kukuta zaidi ya 1,katika zama hizohizo kuna vile vikielekezwa vinakwenda ku'report kwa Wazazi vile ndo katika vi'3 unaweza kuzifumania zaidi ya 1
Nipoooo...Mzee upooooo......