Barua ya wazi ya waliokuwa wafanyakazi wa NIDA kwa Rais yapatiwa majibu

Dnashon

Member
Feb 19, 2016
58
33
Hatimae Mamlaka ya vitambulisho vya Taifa NIDA imefikikia uwamuzi wa kuanza zoezi la kulipa madeni ya waliokuwa wafanyakazi wake.kwangu binafsi nimefurahishwa Sana kuona haki ya mtumishi inatendewa haki. Hongereni Sana wahusika.
 
Sasa muende mkasambaze ushuhuda huo kwa watu wengine kuwa magufuli ni mtu wa kazi tu na hataki mchezo
 
Kapilimba ndio kazi yake nasikia hata vijana wa NEC nao aliwaacha solemba
Kwa hiyo apo aliwaita kuwahadaa tu
 
Back
Top Bottom