Barua yako ni nzuri lakini kosa kubwa ni kumwita Zitto Mweshimiwa !!Mheshimiwa Zitto,
Namshukuru Mola kwa kunipa nafasi na wazo hili la kukuandikia barua hii ya wazi.
Kwanza nianze kwa kusema kwamba mimi ni miongoni mwa Watanzania ambaye nilikuwa ninavutiwa sana na misimamo yako ya kizalendo ndani na nje ya Bunge. Ulivunja rekodi pale ambapo ulitolewa Bungeni kwa sababu ya msimamo wako thabiti katika kutetea maslahi ya umma.
Ni muda mrefu sasa kumekuwa na tuhuma nyingi toka ndani na nje ya chama chako (CDM) ya kwamba wewe pamoja na watu wako wengine wa karibu mmekuwa mkikiasi chama na kufanya mambo ya kudhoofisha harakati za upinzani nchini Tanzania. Mheshimiwa, vilevile kumekuwa na tetesi nyingi ya kwamba chama cha ACT ambacho kinasimamiwa na Ndg. Mwigamba kama Katibu Mkuu ni moja ya mikakati yako ya kupambana na CDM.
Mheshimiwa, natamani kupata kauli yako kuhusu msimamo wako na ukweli wa moyo wako kuhusu chama cha ACT. Naamini ni Watanzania wengi pia wenaopenda kusikia msimamo wako wa kisiasa.
Asante kwa kutumia muda wako kusoma waraka huu mfupi, na ninaamini kwamba utachukua hatua ya kuweka wazi msimamo wako.
Mungu Ibariki Tanzania.
Mheshimiwa Zitto,

Mnasema busara zipi za zitto za kupunguza nguvu ya upinzani na kubomoa nyumba aliyoshiriki kuijenga kwa mikono yake Anabomoa akiwa bado yuko ndani Hatufai kabisa huyu kwa ujenzi wa Taifachadema kwa nini hamonyeshi ukomavu kisiasa kila anapotajwa zitto? hivi hamuoni kama zitto kawazidi kwa busara kwa kuwakalia kimya? mlimvua vyeo nyie wenyewe, na mnadai mlishamfukuza uanachama. sasa mbona mnachachawa kila mkisia jina lake? kwa tabia yenu utadhan yeye ndiye aliyewafukuza chadema. hivi mnajiuliza mwaka kesho majimbo mangapi mtayatetea, achilia mbali kupata majimbo mapya? achanane na matusi yenu yakipum.bavu kila siku yanaharibu kabisa taswira ya chadema.
Udini ndani ya chama ndio sababu ya Zitto kuonekana msaliti.Zitto yupo sawa na msimamo wake na dini yake na maslahi ya taifa kwa ujumla lakini pana ukweli ambao umefichwa hapa ambao Watanzania wengi hawajuwi.
Mheshimiwa Zitto,
Namshukuru Mola kwa kunipa nafasi na wazo hili la kukuandikia barua hii ya wazi.
Kwanza nianze kwa kusema kwamba mimi ni miongoni mwa Watanzania ambaye nilikuwa ninavutiwa sana na misimamo yako ya kizalendo ndani na nje ya Bunge. Ulivunja rekodi pale ambapo ulitolewa Bungeni kwa sababu ya msimamo wako thabiti katika kutetea maslahi ya umma.
Ni muda mrefu sasa kumekuwa na tuhuma nyingi toka ndani na nje ya chama chako (CDM) ya kwamba wewe pamoja na watu wako wengine wa karibu mmekuwa mkikiasi chama na kufanya mambo ya kudhoofisha harakati za upinzani nchini Tanzania. Mheshimiwa, vilevile kumekuwa na tetesi nyingi ya kwamba chama cha ACT ambacho kinasimamiwa na Ndg. Mwigamba kama Katibu Mkuu ni moja ya mikakati yako ya kupambana na CDM.
Mheshimiwa, natamani kupata kauli yako kuhusu msimamo wako na ukweli wa moyo wako kuhusu chama cha ACT. Naamini ni Watanzania wengi pia wenaopenda kusikia msimamo wako wa kisiasa.
Asante kwa kutumia muda wako kusoma waraka huu mfupi, na ninaamini kwamba utachukua hatua ya kuweka wazi msimamo wako.
Mungu Ibariki Tanzania.
You call this deranged daft "Mheshimiwa"
You have made me Puke.
Zitto akalime mihogo tu kigoma