The Wolf
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,396
- 20,631
Tangu mida ya mchana nimesoma tangazo lako la kuifungia corner bar, nimekaa chini na kutafakari sikutaka kuchangia lolote.
Ila kuna jambo linanitatiza kama umeifungi corner bar, kwanini hukuifungia na KANGAROO? Malaya wengi siku hizi wanajiuzia kangaroo hii ni fact nakuambia kama mdau, si wa kununua malaya wala mmiliki ila kama mdau ambaye najua operations za hizi bar & club.
Kama lengo lako ni kukomesha biashara ya malaya kwa nini umeziacha kangaroo, king D, la chaz na ile guest pale mori?ukifungia corner bar si wateja wanahamia hizo sehemu nyingine?
Binafsi sina imani nawe, nahisi lengo lako ni kumkomoa mfanyabiasha wa hiyo bar, si ajabu hata umelipwa kwa ajili ya ku shift traffic to la chaz ama maisha au kangaroo, hizi ni hisia zangu sijakutuhumu
Polisi wana reaource zote kuweza kukamata malayavna kufungulia mashitaka, kwa nini hujaamua kuwatumia?
Fikiria vyema na ufungie pia kangaroo, king d na la chaz sababu unachofanya ni kuwaondoa kona na kuwapeleka huko, kuondoa wateja wazuri na kuwahamishia huko, inaonekana kama hii vita umeamua kupigana kwa ajili ya kumnufaisha mfanyabiashara mwingine. Wateja hatukuelewi hata kidogo