Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,491
- 100,891
- Thread starter
-
- #21
Duh...Mkuu una kumbukumbu aisee! Hongera. Vipi bado hajamaliza la saba?
Hahaahaha siku hizi bila kununua smart phone hulambi mzigo
basi mnakosa mengiSiku hizi hakuna hizo
Kuna msemo unasema : 'A woman never destroys a love letter'.
Natumai kina dada wengi watakuwa na barua za aina hii.
mie wa Enzi hizo baba si dot.combasi mnakosa mengi
Bado iliyoandikwa na red pen, lol
Msalmie rav wako!!
hahaaahaa ikishaandikwa kwa red pen ujue kibuti hicho
Basi basi ishia hapo hapo Mama hahahahaa kama vile nakuona unavyomuona kipindi hicho Loh, ujana raha aiseeeInaandikwa na red pen then kopa linachorwa linatiwa mkuki afu unadondosha damu..... hahahahaaaa niliwah kuandikiwa barua ya hivi, saiv yule kaka ni traffic!!
hahahahahaaa darasa la saba hio mwanangu, acha kabisa. tulikua tunaita LY hata sikua nafahamu maana yake, huku nimevaa soksi ndefu na raba zinaitwa DH, saa hizi nimezeeka kabisa, Mkuu BAK ya kwako iko wapi?
Hahahahahaha lol!!!! Yangu sijamuona muhusika mpaka karatasi niliyoandikia imechakaa, inabidi nikae chini niandike nyingine na kuitia nakshi za maua mazuri yapendeza lol!!!! umenikumbusha mrembo mmoja shule ya msingi. Huyu alikuwa mrembo kweli na alikuwa mbele yangu darasa moja na sehemu zetu za kufanya usafi wa shule kila siku asubuhi kabla ya kuingia darasani zilikuwa karibu karibu. Siku moja akaniambia usifagie mie nitakuwa nakufagilia kila siku. Nikamwambia ahsante na pia kumtaarifu kwamba sitakuwa naenda tena maeneo yale maana najua yeye atanifagilia mie nitaenda kucheza. Akaniambia hapana hata kama nakufagilia eneo lako uwe unakuja kila asubuhi, mie sitafagia mpaka nikuone kwamba umekuja shule lol!!!! Mengine kapuni ππ
mie wa Enzi hizo baba si dot.com
nimemaliza aisee na ndevu zimetoka ila kiwembe ndio sijaanza kutumia bado, memories bhana.
umetudanganya aseee... hiyo barua sio ya kwako ni ya godilavu..
Sawa Mkuu hakuna tatizo.maswali mawili ya kwanza jibu lake ni ndio ila la mwisho ni hapana