Barua ya Mpenzi wangu 1990s

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
61,491
Reaction score
100,891
Sitaki maneno mengi, nimekukumbuka sana mwandani wangu. Nilipoiona hii barua tena juzi nilifurahi sana.... Kazi kwenu msiokuwa na Library. Kesho nitaweka majibu ya barua hii. Chakaza ladyfurahia Little Angel MANI zumbemkuu everlenk charminglady lusungo na wengineo, za kwenu ziko wapi? Si unaona mkuki moyoni huo. Alikua ananipenda kama Escrow vile
 

Attachments

  • 1417580151041.jpg
    42.7 KB · Views: 2,020
vipi "godilavu" ulifanikiwa kumuoa huyo kidosho wako?
 
Kuna msemo unasema : 'A woman never destroys a love letter'.

Natumai kina dada wengi watakuwa na barua za aina hii.
 
Bila shaka ulifanikiwa kumuoa maana yupo very serious.
 
Kuna msemo unasema : 'A woman never destroys a love letter'.

Natumai kina dada wengi watakuwa na barua za aina hii.
Mimi nilikua na bahati mbaya sijawahi kuandikiwa ila sms siunajua zamani kulikua na zile simu za alcatel kama mche wa sabuni miaka 15 sasa simu nnayo ndani ya safe box ....
 
well said mkuu. niliwah kuona ya bibi aliandikiwa na babu 1933 kabla hajamuoa. baba mdogo akaichukua akaificha cjui wap. yeye alichukulia kama ni aibu kwake. that was 2005
 
Last edited by a moderator:

Hivi Mkuu, wewe umesomea Engineering? Umewahi kuishi Tanga? Mzee wako aliwahi kuishi Zanzibar miaka ya nyuma?
 
Last edited by a moderator:
hahahahahaaa darasa la saba hio mwanangu, acha kabisa. tulikua tunaita LY hata sikua nafahamu maana yake, huku nimevaa soksi ndefu na raba zinaitwa DH, saa hizi nimezeeka kabisa, Mkuu BAK ya kwako iko wapi?
Bila shaka ulifanikiwa kumuoa maana yupo very serious.
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK

Mkuu Elli umenikumbusha mbali sana. Ukiwa umejifungia wakati huo chumbani unasoma waraka kama huo halafu kwa mbaaali unasikia RTD wanapiga wimbo wa Marijani Rajabu akiwa na Safari Trippers akiiimba " .......mpenzi wangu ninakueleeeza unanichoma mkuki moyoni, unanitesa....unaniumiza......unanichoma mkuki moyoooni"
Ilikuwa lazima chozi la huba likudondoke.
 
Last edited by a moderator:
Hahaahaha siku hizi bila kununua smart phone hulambi mzigo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…