ROBERT MICHAEL
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 5,054
- 2,872
Kitu cha kwanza ni ku-establish kosa alilotenda. Diamond kavunja sheria ipi kwa kuvaa yale mavazi? National Defense Act 1967 inasema kuwa
99.-(1) Every person who without lawful authority, the proof of which lies on him (a) wears a uniform of the Defence Forces or any other uniform that is so, similar to the uniform of any of the Defence Forces that it is likely to be mistaken therefor is guilty of an offence and is liable on conviction to a fine not exceeding five hundred shillings or to imprisonment for a term not exceeding three months or to both such fine and imprisonment.
Kama alivaa hayo mavazi bila kuhusiwa kisheria basi atakuwa amevunja hiyo sheria. Hata hivyo, hakuna sheria isiyokuwa na exception kwa sababu:
(2) Nothing in this section shall prohibit (b) the wearing of such uniforms or things as are mentioned in paragraphs (a) of subsection (1) of this section for purposes of a theatrical performance.
Kwa hiyo, suala hapa ni was Diamond performing an activity which could be regarded as "theatrical performance"? If the answer is yes, then he will fall within the exception and, hence, not liable. If not, he will not fall within the exception and, thus, liable.
But the crucial issue is what is a theatrical performance? Sheria husika haijatoa maana ya "theatrical performance".
huwezi jua post ya mleta mada ni kweli au uwongo,btw mi hawa wote nawakubali,namkubali Ally kiba na namkubali Diamond pia ubaya ni mashabiki kujigawa,but kinacho-make sense kama inavyosemekana Diamond kurekodiwa wimbo bure kabla hajatoka,na alipotoka akawa against na waliomsaidia,hiyo sijui kama ni kweli au uwongo but mashabiki wa kiba ndo wanahisi kusalitiwa na kumwona kiba alikuwa mwungana kumsaidia Diamond ila Diamond hana shukrani,mi kwa hao wote sina neno,nawakubali.Lengo la mleta mada si kuonesha kwamba Diamond ana matatizo ya spelling bali ni majnga kwa asilimia mia moja... na ndio maana, mwanzo tu ameonesha kwamba huyo Diamond wala hafahamu hata tofauti kati ya JKT na JWTZ... yaani hajui hata kwamba pale Leaders hakwenda kwa ajili ya show bali kufanya video... yaani upande mmoja anaandika Abdallah vizuri upande mwingine Abdallah hiyo anaiandika vingine... huku anaiandika Naseeb vizuri dakika chache baadae Naseeb hiyo hiyo anaikosea!!!
Anyway, all in all binafsi najionea ujinga... ndo maana mleta mada nimemuuliza, kama hajui kuandika, so what? Sijawahi kusikia Diamond akijisifia kwamba yeye ni msomi... Sana sana kitu ninachokiona toka kwa Diamond ni mtu wa from mr. nobody to mr. somebody... or from mr. nothing to mr. something... mambo ambayo wengi wetu tumeshindwa kuya-achieve!
Ha ha ha haa kwa akili hii ndo matumbo amlinganishe huyo kapuku na waliokwenda shule??
hivi kwenye hiyo kampuni hakuna wasomi wakuiendesha mpaka wanafanya vituko vya namna hii???
Duuh nimecheka sana kama kitu very simple kama business letter inawashinda wataweza mengine?
Hivi JKT ndio JWTZ??
Ndio maaana domo ana mambo ya shombo sana coz akili na exposure yake ni very low!!!!!!
cc Matola
kweli kabisa hii barua ya kazi au rafiki?
Be seriousl pleaseee
ustake nianze kudharau barua wanafundishwa la sita jamani
mbona wanafunzi mnatutia aibu walimu wenuuu
Mkuu Matumbo, afadhali umenisaidia... unajua muda wote huu nilikuwa najiuliza hiyo Abdallah imetoka wapi... kumbe ndo wanamaanisha hajui hata kuandika Abdul....!!!Nilishazungumza nyie wakaanga sumu hamna lolote zaidi ya chuki na wivu kwa mafanikio ya Diamond ndio maana hamumuoni mwingine yoyote....wewe uliyesoma ila unaamini mtu anaweza kukosea mpaka jina lake kutoka Abdul mpaka Abdallah, unatofauti gani na asiyesoma na roho yako ya mbaya ya kiwizadi?? Tafuta maisha yako diamond sio kikwazo kwa vyovyote kwako,alichonacho anakitafuta.
Pumbavu sana..hii barua imeandikwa na ally kiba
Nilishazungumza nyie wakaanga sumu hamna lolote zaidi ya chuki na wivu kwa mafanikio ya Diamond ndio maana hamumuoni mwingine yoyote....wewe uliyesoma ila unaamini mtu anaweza kukosea mpaka jina lake kutoka Abdul mpaka Abdallah, unatofauti gani na asiyesoma na roho yako ya mbaya ya kiwizadi?? Tafuta maisha yako diamond sio kikwazo kwa vyovyote kwako,alichonacho anakitafuta.
Mkuu Matumbo, afadhali umenisaidia... unajua muda wote huu nilikuwa najiuliza hiyo Abdallah imetoka wapi... kumbe ndo wanamaanisha hajui hata kuandika Abdul....!!!
Anyway, hii barua kwenye akili yao ambao walikuwa wanafuata tu mkumbo itawadhihirishia kwamba mengi yanayosemwa kuhusu Diamond ni ya kutunga kama ilivyotungwa au kufojiwa hiyo barua! But all in all, hata kama hajui kuandika, who cares? Watu tunataka pini, basi... na hata kama hajui kuandika basi ili mradi anaweza kuandika mashairi na mwenyewe akayaelewa, is more than enough for me coz' i've no plan to hire this dude as my secretary so why should i care??!!
It's very unfortunately tunatumia majina bandia humu... natamani siku moja ingetokea technical error humu ikaumbua watu na their real identities... tungekuja kupigwa na kihoro... hawa hawa wanaojiona kwamba wao ndo wapo juu kumbe wengine ni shoe shines tu mitaa ya posta halafu wanakuja hapa kelele nyingi!
Sio kweli labda kama hao akina Bob Junior walitaka wawe wanapigwa tag maisha yao yote!!! Kabla hili bifu halijaanza, mwenyewe kwa macho na masikio yangu nilimuona Bob Junior akihojiwa ikiwa Diamond alikuwa anamkumbuka baada ya kumtolea ngoma yake Bob Junior yeye mwenyewe kwa mdomo wake akasema mara kibao dogo akipiga show, lazima amkumbuke Bob Junior sasa labda kama walitaka kumgeuza msukule wao!!! Hili bifu halijaanza zamani sana kwahiyo ni uongo mtupu kudai kwamba alipotoka tu jamaa akawapa kisogo akina Bob Junior. Tumia mfano mdogo tu... Bifu la Ally Kiba na Diamond lilikuja wakati wa Track ta Single Boy ya Ally Kiba... kabla ya hapo walikuwa poa tu! Now tell me, Single Girl imetoka lini na Diamond ametoka lini ndipo utafahamu kwamba hayo maneno ni ya uongo!!huwezi jua post ya mleta mada ni kweli au uwongo,btw mi hawa wote nawakubali,namkubali Ally kiba na namkubali Diamond pia ubaya ni mashabiki kujigawa,but kinacho-make sense kama inavyosemekana Diamond kurekodiwa wimbo bure kabla hajatoka,na alipotoka akawa against na waliomsaidia,hiyo sijui kama ni kweli au uwongo but mashabiki wa kiba ndo wanahisi kusalitiwa na kumwona kiba alikuwa mwungana kumsaidia Diamond ila Diamond hana shukrani,mi kwa hao wote sina neno,nawakubali.
Umeona enh... maana humu kuna watu wanajua kutishia wenzao bhana..., aaaaargh, kumbe wapi!Natamani itokee sasa hivi nichekeee...hahahaaaaa ...
Wale wenye sura kama za baba zao sijui wataziweka wapiii....masuper star wa jf...
Huu ni mwendelezo tu wa ujinga wa Watanzania... ni Watanzania hawa hawa ambao kutwa kucha walikuwa wakishinda kwenye mitandao Hayati Kanumba kwamba hata hajui Kiingereza baada ya kwenda Jumba la Big Brother! Yaani wao shida yao ni kuona mtu ana-excel, basi ishakuwa tatizo... wanataka kila mtu awe tutusa kama wao! AIBU!
Natamani itokee sasa hivi nichekeee...hahahaaaaa ...
Wale wenye sura kama za baba zao sijui wataziweka wapiii....masuper star wa jf...
Simple Rule of Thumb... ukiona comment haikuhusu, unaipotezea! Kwahiyo kama unadhani nawe si mmoja wa hao wajinga, ulitakiwa kuipotezea!!Acha kuita Watanzania wajinga wewe ona haya sema baadhi unafikiri ni wote wanafuatilia mziki futa hiyo kauli yako mi kuna watu nawafahamu hawafuatiliagi mzigi acha kujumlisha wote sema baadhi
Kama memeeeeeeeeeeew(wema's voice)