Barua: Mualiko wa mkesha wa Mwenge Leo Mei 16, 2016

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
20,819
26,180
uploadfromtaptalk1463409886125.jpg
 
Hii nayo dini, watu mkeshe mpaka asubuhi, mnauabudu au mnautambikia?
 
Hivi huu mwenge wangeufungia makumbusho Na bajeti Yake ilelekezwe kwenye madawati alafu rais aseme kila mkuu Wa mkoa waifungue miradi yote kwa niaba ya rais bila sherehe zozote kungekuwa na hasara gani ? Kwa taifa
 
Back
Top Bottom