Barua kwa Mke Wangu...

Mentor, kilichonichosha sio urefu wa barua ni hapo uliposema :- Ndoa tuliyofunga January 28, 2017 siku ya Jumamosi..still fresh in my mind. :help:

Ni hadithi ya yatakayotokea...get me!??:yield:
 
Pole Asprin nilisahau kama kuna wengine mnatumia simu za kiganjani, lol

Maadam ni wewe sista nimekusamehe kiroho safey, angekuwa mwingine angelipa faini walah.

Mi na wewe hatujakutana magengeni.
 

Bazazi leo ameamua kufanya fujo.
Fujo ni kunakili makala nzima na kuweka mchango mdooogo!

Huo ni wimbo wa Kwaya ya mwanamke mmoja jina limenitoka;
Mwanakwaya wa Mbeya kama sijakosea

Bazazi
 
Bazazi leo ameamua kufanya fujo.
Fujo ni kunakili makala nzima na kuweka mchango mdooogo!

Huo ni wimbo wa Kwaya ya mwanamke mmoja jina limenitoka;
Mwanakwaya wa Mbeya kama sijakosea

Bazazi

Ama hakika wewe ni Bazazi. Anaitwa Bahati Bukuku ingawa hadithi yangu ina conclusion ya tofauti na wimbo wake!!!
 
Last edited by a moderator:
Safi sana Mentor we mkali umenikumbusha mpk kile ki Duet chako cha Tanga manake hapa umeshuka na Audi3 uko Advanced.
Hongera kwa kisa kizuri chenye mtiririko maridhawa mpak nimepata kuona picha yote jinsi umetaitiwa na mkurya kwenye kon ya kitanda..hospitali....urembo wa mwallu na jinsi ameshika barua akisoma na kupiga goti kuomba mungu.
Uko mbali sana katika utenzi.
Naamini utauza vitabu sana vya simulizi nzuri.
Hongera zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…