jombi95
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 1,403
- 2,189
Kwako Mama Mpendwa. .!
Shikamooo Mama .Natumai unaendelea vizuri na majukumu ya kulijenga Taifaa letu pendwa .
Nia na dhumuni la kuandika barua hii ni kutaka kukumbusha Mama yangu mpendwa ile project yako ya kuchangisha wana JF na wadau mbalimbali wa elimu michango kwa ajili ya wanafunzi wanaokosa mkopo ilishia wapi Mama.
Mama mwezi ujao mwishoni vyuo vingi vinafunguliwa na kama ilivyo kawaidaa lazima Kuna wanafunzi wengi watoto wa masikini watakosa mkopo kama ambavyo ilitokea mwaka jana.
kwa kuliona hilo nimeona bora nikukumbushe mapemaa Mama kuhusu ile idea ambayo uliileta hapa JF siku za nyuma uifufue na kuindeleza ili ikiwezekana kipatikane chochote kitu tuweze kuwasidia ndugu zetuu hawa ambao ni wahanga watarajiwa.
Mwisho naomba nikutakie kazi njema katika Ujenzi Mama yangu Mpendwa.
wako katika Ujenzi wa Taifa.
Jombi95
Mtoto wako.