Muke Ya Muzungu
JF-Expert Member
- Jun 17, 2009
- 3,444
- 265
na jitihada zote za mbowe kukijenga chama asigombee?
Kwani mtu kuwa kijana ni dhambi au udhaifu?
Mbowe ana mchango mkubwa sana kuliko mtu mwingine yeyote chadema.
Ana haki ya kugombea kama wanachama wengine.
Acha kura za wanachama ndio ziamue.
kuna kaukweli hapa aiseeMbowe hapo hawezi kusikiliza. Kashainvest sana kwenye Urais. Slaa anategemea kuokota dodo chini ya mnazi.
Mbowe hapo hawezi kusikiliza. Kashainvest sana kwenye Urais. Slaa anategemea kuokota dodo chini ya mnazi.
Nimeipenda sana hii bahati nzuri, naujua msimamo wa Dr. Slaa kuhusu kugombea urais kwa 2015!.
Japo mimi sina chama, nazi appreciate sana juhudi za Chadema kutupeleka kwenye ule ukombozi wa kweli wa pili wa Mtanzania ile 2015!.
Natofautia na wewe kwa hoja moja tuu, kwa vile Chadema ni chama cha kidemokrasia kwa maneno na matendo, lazima kiache milango yake wazi, kwa yoyote mwenye sifa, kugombea nafasi yoyote, atakaonekana is the best ndiye apeperushe bendera ya Chadema na sio kuanza mizengwe ya ki CCM CCM!.
Japo mimi sina chama, mgombea wangu kwa CCM ni EL, kwa Chadema ni Zitto kwa sababu msimamo wa Dr, naujua!.
Samahani sana. Mh. Mbowe akifanya kosa kwa tamaa za madaraka, basi amekwisha na chama chake pia kimekwisha. Zitto na kundi fulani wanajipanga sana dhidi ya mbowe. yaani kila wiki wana kikao na viongozi wa CCM

Kuna watu huwa hawawezi kutoa comment bila kuandika "ingawa sina chama"!
Samahani sana. Mh. Mbowe akifanya kosa kwa tamaa za madaraka, basi amekwisha na chama chake pia kimekwisha. Zitto na kundi fulani wanajipanga sana dhidi ya mbowe. yaani kila wiki wana kikao na viongozi wa CCM
Hilo nalo neno! But Dr. Slaa ndo kaifikisha CDM mahali ilipo coz ana msisimuko flan as if MTUME wa kuja kulikomboa Taifa hili! Mbowe was there there b4 Dr. Slaa but hakukuwa na msisimko kama alouleta Dr. Slaa 2010! Je, unaamini hilo?Kama wananchi wanamsikiliza Slaa, basi watamsikiliza akiwaambia wamchague Mbowe au other CHADEMA candidate.Umemfananisha Slaa na Nyerere. Nyerere alisikilizwa na kumuokoa Mkapa na CCM mwaka 1995, Slaa naye anaweza kusikilizwa hata kama yeye siyo mgombea.