Barua kwa Ex wangu niliyempenda sana kumbe yeye hakunipenda hata kidogo na kuniacha bila sababu

Lazima ni dem no1 huyu watu tushapenda tushaacha na kuachwa mara ya 30.hahahah lakini hatukondi ndo kwanza tunazid nawiri Ukishaijua formula ya mapenzi,hata sku1 huwez lia bwana mdogo/mkubwa formula ni hakuna mwanamke au mwanaume wa peke yako end of story.
 
Lazima ni dem no1 huyu.....watu tushapenda tushaacha na kuachwa mara ya 30.hahahah,..lakin hatukondi ndo kwanza tunazid nawiri

Ukishaijua formula ya mapenz,hata sku1 huwez lia bwana mdogo/mkubwa.

Formula ni....hakuna mwanamke au mwanaume wa peke yako...end of story.
Duh bro hahaha nimejikuta nacheka na hii formula yako haha
 
Hahahaha ila pole mwaya hakuna haja ya kulia lia don’t take things too serious ukiachika chukulia poa maisha mengine yaendelee Usiwe unakaa kaa pekeo jaribu kuwa karibu na marafik au busy na mambo yako itasaidia saana kumsahau.
 
Polee yako bhn ila hawa wanawake ni sumu narudia tena haWa Wanawake ni sumu yaani sumu kweli kweli ukiwaendekeza imekula
 
Back
Top Bottom