BARUA: Diwani aliyeikacha Chadema aomba kurejea!!

BARUA: Diwani aliyeikacha Chadema aomba kurejea!!

TangataUnyakeWasu

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2016
Posts
1,268
Reaction score
1,611
7d03f977a5752aa40b9f55ed9d8e6fd9.jpg
Usaliti ujawahi mwacha msaliti salama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu ndo mpunga wake uliyeyuka ghafla kwenye account sio,

Apambane tu na hali yake hamna namna
 
Ha ha ha... kupata kichekesho hiki na vingine andika chagadema kisha mkosa uzalendo kisha nyota ok. Tangu lini diwani akaandika kwenye kikaratas cha ajabu ajabu kama hiki? Hata mtoto wa drs la pili lazima ajue imetengenezwa hii
 
Swala sio kurudi swala ni kauli ile ile tunayoipinga kuhongwa/kurubuniwa.....kurudi anaweza akarudi kama lipumba tuu....swala hapa ni jinsi gani upinzani unaweza kuifuta hii kauli ya kuhongwa na kurubuniwa??
 
Kwakuwa tuliambia hawa jamaa ni wapenda pesa na hununulika, hata sitaki kusumbua kichwa juu ya ukweli ama uongo wa habari hii, ila kama ni kweli basi pesa dau kubwa limemrejesha. Chezea pesa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha... kupata kichekesho hiki na vingine andika chagadema kisha mkosa uzalendo kisha nyota ok. Tangu lini diwani akaandika kwenye kikaratas cha ajabu ajabu kama hiki? Hata mtoto wa drs la pili lazima ajue imetengenezwa hii

Bashite RC akiandika poa tu diwan haiwezakani sio
 
Pumbavu zao wala wasimfikirie. Huyu aende kwa Lipumbavu ndio wanaendana maana nae alieondoka kwa kupanda DAU halafu akarudi ndio anaendelea na migogoro akisaidiwa siri kali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kweli bavicha mnahali mbaya yaani unajiandikia kibarua chako mwenyewe halafu unaleta kututishia hapa.
 
Mipango ya viongozi wa chadema tangu mwanzo.. wengine hatudanganyikiiiii. Na mpango ukabuma walifikiri CCM itawakimbilia.. hiyo barua hata mimi naweza kuiandika nikasingizia kaandika huyo.
 
Back
Top Bottom