Barthez Atemwa Kilimanjaro Stars

Barthez Atemwa Kilimanjaro Stars

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
25.jpg

Wachezaji wanaounda kikosi hicho cha Tanzania Bara ni makipa Deogratius Munishi (Yanga), Ivo Mapunda (Gor Mahia, Kenya) na Aishi Manula (Azam). Mabeki ni Erasto Nyoni (Azam), Himid Mao (Azam), Ismail Gambo (Azam), Kelvin Yondani (Yanga), Michael Pius (Ruvu Shooting) na Said Moradi (Azam).

Viungo ni Amri Kiemba (Simba), Athuman Idd (Yanga), Frank Domayo (Yanga), Haruna Chanongo (Simba), Hassan Dilunga (Ruvu Shooting), Ramadhan Singano (Simba) na Salum Abubakar (Azam).
Safu ya ushambuliaji inaundwa na Elias Maguli (Ruvu Shooting), Faridi Musa (Azam), Joseph Kimwaga (Azam), Juma Liuzio (Mtibwa Sugar), Mbwana Samata (TP Mazembe, DRC), Mrisho Ngasa (Yanga) na Thomas Ulimwengu (TP Mazembe, DRC).
 
....nina wasiwasi na Mabeki, hata hivyo atuna namna ndo mabeki wa-kitanzania tulionao hao.
 
....nina wasiwasi na Mabeki, hata hivyo atuna namna ndo mabeki wa-kitanzania tulionao hao.

Yah, naona kiuzoefu beki wa kati ni mmoja tu, lakn kumbuka ile Starz kubwa mabeki wa kati wanatoka Zengi, ngoja tumuone Ismail Gambo. alionesha ukomavvu na ujuzi mkubwa kwenye mechi ya kirafiki, tatizo la Morad ni kutoa maboko
 
Nimeanza kuamini kwamba ili uchaguliwe kipa namba moja sharti uwe kipa namba moja Simba au Yanga, hebu na nyie fuatilieni
 
Back
Top Bottom