kila nikisikia madini yamegunduliwa roho yangu inaniuma sana. Kwani wananchi watapokwa ardhi,watachomewa nyumba,watapigwa na mwisho faida yote inaishia kwa wazungu na kina jk. Bora hata wangekuwa wanahudumia jamii inayowazunguka kwa maji,shule na afya. Ajira zenyewe watu wanatoka nje. Eee,Mungu tunusuru na huu unyanyasaji wa kina jk na wenzake