Barrick to construct a road from Bulyanhulu to Mwanza according to the contract signed today

Barrick to construct a road from Bulyanhulu to Mwanza according to the contract signed today

Utapiga kwa hiyo asilimia 16%

Sent using Jamii Forums mobile app

Asilimia inategemea na ukubwa wa namba mfano 10% ya Wamarekani milioni 300 ni watu milioni 30 lkn 10 % ya Watanzania millioni 45 ni watu ~ milioni 4, hivyo ni swala la namba, hiyo 16% ni ya kiasi gani cha fedha? Inaweza ikawa ni mabilioni ya fedha kulingana na mfano wangu wa 10% ya Watu wa USA vs 10% ya Watu wa Tanzania.
 
Hapo kwenye "After recoupment of capital investments" ndipo kuna mambo kwani inavyoonekana Tanzania haitachangia chochote kwenye huo uwekezaji.

Wewe hauna stake yoyote kwenye mtaji lkn unapewa hisa za bwerere 16% halafu eti tena faida mnagawana pasu...!!! Hapo kwenye gharama za uendeshaji hizo ambazo huchangii lazima uliwe tu.

Kipindi fulani niliiwahi kuona orodha ya suppliers wa Barrick North Mara ilikuwa ni orodha kubwa mno kutoka ndani na nje ya nchi kitu kinachoonyesha kuwa kwenye mining industry operating expenses ni nyingi mno na pia kampuni ya uchimbaji ina uwezo wa kucheza na hao suppliers ili ku-inflate bei za bidhaa na huduma na isitoshe sisi bado hatuna qualified personnel in this complex industry, lazima tu tutakuwa 'Shortchanged'.

Hapa there will be nothing to smile about.
 
Kama alivyosema Kabudi. Mambumbumbu kama hao ni kuachana nao. Very negative on everything. Mwanzo walisema Barrick anaonewa. Now wanaona aibu Barrick mwwnyewe kakiri hadharani. Bila hata aibu wanakosa uzalendo mchana kweupe.
Mmebadilisha gia angani. Mlisema hakuna mkataba utasainiwa leo umesainiwa sasa mnakuja na sababu nyingine. Naona sasa nyinyi ni kuwa ignore tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka Mwanza? Ebu acheni uongo, Geita Mwanza kuna Lami, labda mseme Bulyankulu mpaka Geita, eti Bulyankulu hadi Mwanza.
Soma vizuri uelewe. Ikiwa kiingereza kigumu omba msaada ueleweshwe.
IMG_20190620_143518.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inapita makao makuu ya wilaya ya Nyang'wale pale Karumwa,I wish iwe hiyo itasaidia sana,maana ile ya changarawe imeshaharibika vibaya mno hakuna connection kati ya Kakola na Karumwa mpaka uzunguke Bukwimba.
kumbuka kuna njia inatoka buly inapita msalala inatokea busisi ni njia ya karibu sana yawezekana wakadili na hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kwenye "After recoupment of capital investments" ndipo kuna mambo kwani inavyoonekana Tanzania haitachangia chochote kwenye huo uwekezaji.

Wewe hauna stake yoyote kwenye mtaji lkn unapewa hisa za bwerere 16% halafu eti tena faida mnagawana pasu...!!! Hapo kwenye gharama za uendeshaji hizo ambazo huchangii lazima uliwe tu.

Kipindi fulani niliiwahi kuona orodha ya suppliers wa Barrick North Mara ilikuwa ni orodha kubwa mno kutoka ndani na nje ya nchi kitu kinachoonyesha kuwa kwenye mining industry operating expenses ni nyingi mno na pia kampuni ya uchimbaji ina uwezo wa kucheza na hao suppliers ili ku-inflate bei za bidhaa na huduma na isitoshe sisi bado hatuna qualified personnel in this complex industry, lazima tu tutakuwa 'Shortchanged'.

Hapa there will be nothing to smile about.
Halafu $10m wamejimegea udsm watu wenyewe ndio hao maimuma kutuongezea mbumbu tu mtaani
 
Mpaka Mwanza? Ebu acheni uongo, Geita Mwanza kuna Lami, labda mseme Bulyankulu mpaka Geita, eti Bulyankulu hadi Mwanza.
Kuna njia ya vumbi kutoka Kakola kupitia msalala na kutokea busisi. Hii njia miaka mingi ilisemekana itatengenezwa na Barrick lakini wapi na ndiyo shortcut kati ya Buly na Mwanza kupitia msalala. Let's wait and see.
 
Kwa kweli kwa hii vita sie pinga pinga tumeshindwa. Kuendelea kupinga hapa ni kujizalilisha, defence yetu imebaki kuulizia noah.
 
Walivyo gundua tuu kuwa hawa watanzania wao wanafurahia kusikia kitu flani kimejengwa mfano barabara au soko hata kama halina tija , basi jamaa wamekuja humo humo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom