On Top of that...unaweza kumaliza Gold ardhini mwaka 2018 hivi.Kama hawata chimba underground.
What do u mean? Wakichimba underground au surface(pit) kuna tofauti gani???
Uzalishaji unaongezeka, achilia mbali jamii au taifa kufaidika kwa kuongezeka uzalishaji huo, je wafanyakazi wao hali zao zikoje, kimapato (Mishahara), manyanyaso maana pale mgodi huo unaendeshwa chini ya uongozi wa jamaa weupe wa Afrika Kusini.
Hizo nafasi 200 walizopunguza, walipunguza wazawa, baada ya hapo wameajiri wenzao weupe kwa wingi sana, hali ambayo inawafanya wafaidike wao kwa ajli zilizoko nchini kwetu ambazo tungeweza kuzifanya sisi wenyewe.
.. the latest estimates put expected 2009 output at between 225,000 and 245,000 ounces of gold at much lower cash costs of $445 to $495 an ounce," Barrick's Vice President for Africa, Gareth Taylor, said in an interview in Dar es Salaam yesterday.