Barrick North Mara Mine Sees 24% Rise in Output | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Barrick North Mara Mine Sees 24% Rise in Output

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Invisible, Aug 19, 2009.

 1. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #1
  Aug 19, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  By Ray Naluyaga

  Barrick Gold Corp.’s North Mara mine in north-western Tanzania is expected to increase production by as much as 24 percent this year.

  “After producing 197,000 ounces at a total cash cost of $757 an ounce in 2008, the latest estimates put expected 2009 output at between 225,000 and 245,000 ounces of gold at much lower cash costs of $445 to $495 an ounce,” Barrick’s Vice President for Africa, Gareth Taylor, said in an interview in Dar es Salaam yesterday.

  In March this year, Barrick cut more than 200 jobs and shut one of three pits at the mine, located 100 kilometers (62 miles) east of Lake Victoria, after theft and vandalism increased costs.

  Tanzania is the continent’s third-largest producer of the metal after South Africa and Ghana. Barrick began production at its Buzwagi mine in May.

  To contact the reporter on this story: Ray Naluyaga in Dar es Salaam via Johannesburg on 1999 or pmrichardson@bloomberg.net

  Source:

  [​IMG]
   
 2. A

  Amwanga JF-Expert Member

  #2
  Aug 20, 2009
  Joined: Jan 11, 2009
  Messages: 294
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Wacha bwana, sisi tuendelee kulumbana kwenye udini na wengine CUF na CCM , huku wakanada wakiendelea kufikiria how to exhaustTanzaniaan's resources so that we died poor, ammkeni acha kujadili watu let we discuss issues.......
   
 3. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #3
  Aug 20, 2009
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  On Top of that...unaweza kumaliza Gold ardhini mwaka 2018 hivi.Kama hawata chimba underground.
   
 4. DMussa

  DMussa JF-Expert Member

  #4
  Aug 20, 2009
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 1,301
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  What do u mean? Wakichimba underground au surface(pit) kuna tofauti gani??

  Dhahabu ya Tz inaweza hata kufika 2050 ila hawa jamaa wanatumia ujanja fulani hivi kufanya forecast ya lifetime ya migodi. Mfano ni ule mgodi wa Resolute by 2005 niliskia ndo ulikuwa uishe ila hadi leo bado jamaa wanadrill na kuzalisha dhahabu... so what is the real life time ya hii migodi?

  Tz is the 3rd largest metal producer in Africa uhh!!!! Cant believe here is where we are?
   
 5. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #5
  Aug 20, 2009
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  OK Mkuu Open pit ni kuchimba juu ya ardhi na underground ni chini ya ardhi.Kwa maana hiyo....huwa wanachimba kwa kiwango flan kwenda chini labda mpaka mita 200 chini...baada ya hapo inakuwa ngumu kwenda mita mpaka 300 kulingana na uwezo wa mitambo kushuka chini kubeba tani za mchanga kuja juu.

  Au mkondo wa dhahabu unakuwa umeishia kwenye mita 200 hizo.Sasa Kuna development drilling huwa inakwenda along with prodiction hii ikiwa na lengo la kuangalia dhahabu iko mpaka wapi,na uwekano wa kupanua eneo la uchimbaji.Hiyo development huwa wanachimba mashimo( Drillhole)

  Hizi ndio sasa huwa zinakupa majibu kuonyesha dhahabu ipo mpaka wapi.
  Kwa kesi ya hawa jamaa...from 200m ambako pit inaweza kuishi...kuna 50 + m za udongo ambao hauna dhahabu.Then baada ya hapo kuna dhabu tena...ambayo ndio tunasema ni underground.

  Kuchimba uko sasa...kunategemea mengi...Je hiyo dhahabu iliyo underground ni economical?Kwa kutoa udogo wote 50+m kisha kuchukua hiyo dhahabu..kuiuza tunaweza fidia gharama ya hiyo west?Hizo ndio factors mkuu.
   
 6. Nyasirori

  Nyasirori Senior Member

  #6
  Aug 20, 2009
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 182
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Uzalishaji unaongezeka, achilia mbali jamii au taifa kufaidika kwa kuongezeka uzalishaji huo, je wafanyakazi wao hali zao zikoje, kimapato (Mishahara), manyanyaso maana pale mgodi huo unaendeshwa chini ya uongozi wa jamaa weupe wa Afrika Kusini.

  Hizo nafasi 200 walizopunguza, walipunguza wazawa, baada ya hapo wameajiri wenzao weupe kwa wingi sana, hali ambayo inawafanya wafaidike wao kwa ajli zilizoko nchini kwetu ambazo tungeweza kuzifanya sisi wenyewe.
   
 7. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #7
  Aug 20, 2009
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145

  Ni kweli mzee is very unfortunate hawa jamaa mpaka driver ni makaburu..manager hawezi hata kuja kula mess moja na wafanyazi wake?Mie hata sielewi kitengo cha immigration...ya tanzania kinafanyaje kazi kuhusu ajira za hawa makaburu.Nafikiri huyu kaka yako Gereth taylor ambaye ni wa kwao...atakuwa kama mungu mtu kwao.

  Wako wengi...mno.Nilisafiri majuzi na kaburu mmoja toka dar mza..huyu bwana anasema ameacha kazi kwao uko anakuja kufanya kazi nyamongo..kwa kuwa ni pazuri kufanya kazi...hivi ni nini hii...Immigration wako wapi what are doing...
   
 8. Simple

  Simple JF-Expert Member

  #8
  Aug 20, 2009
  Joined: Feb 6, 2009
  Messages: 249
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Barrick North Mara Mine Sees 24% Rise in Output...TOTALLY BULLSHIT

  Mgodi ambao hautunufaishi sisi wana Mara na watanzania kwa ujumla,,bali unatutenganisha...jamii na mifugo mingi inayouzunguka huu mgodi zinasambaratika.

  Wanawa brain wash wanavijiji na few facilities kijijini pale,,then wao wanaangalia rise in Output...
  Huyo Teweli msemaji wao,,amejawa na propaganda na maslahi ya wazungu..tangu yupu TCC,,,kazi yake aliyoisomea ni KUTETEA WIZI WA WAZUNGU KWENYE VYOMBO CHEAP VYA HABARI.

  Tangu yupo TCC,,anakesha kutetea wazungu watengeneze sigara nyingi zaidi mwaka hadi mwaka....na sasa anatetea hawa mbwa(wawekezaji upumbavu) ili wamaliza natural resources zetu..

  Pumbavu kabisa,,, na wasomi soon tunarejea nyumbani Mara kuwatetea wetu mraa...

  Vita ni Vita
   
 9. K

  Koba JF-Expert Member

  #9
  Aug 27, 2009
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 494
  Trophy Points: 180
  ..kwa hiyo kwa bei ya dhahabu sasa hivi ya 950$ hapo kila ounce moja net profit ni kama 500$,kwa hiyo hao jamaa faida yao kwa huo mgodi ni 245,000 x 500 ni kama 100 million,huo ni mgodi mmoja tuu nasikia tanzania wanatoa zaidi ya ounce milioni tatu...kweli tumelogwa na hata kodi hawalipi!
   
Loading...